Ulitumia mbinu gani kumuondoa mwanamke aliyeng'ang"ania gheto?

Nae anakuomba msamaha kwa hisia huku analia akikueleza ni upendo tu juu yako ulimfanya ashindwe kukukatalia kwani nae hajawahi.
""Kwahiyo huko nyuma ao uliopita nao naamini uliwapenda je walikuacha salamaaa HAPANA siwezi siwezi...
Nimeanza kukuogopa sasa...
Kwanini ulishindwa kunizungusha kwanza ila ukawa mwepesi hivo crista."""""
Huku nalia kwa kwikwi... Na nakemea kabisa
 
Kwa umri wake na wangu hatuna cha kupoteza,ndoa sio kipaumbele changu,.
 
""Kwahiyo huko nyuma ao uliopita nao naamini uliwapenda je walikuacha salamaaa HAPANA siwezi siwezi...
Nimeanza kukuogopa sasa...
Kwanini ulishindwa kunizungusha kwanza ila ukawa mwepesi hivo crista."""""
Huku nalia kwa kwikwi... Na nakemea kabisa
Dah ila hii njia naitunza ntaitumia nikifika huko siku moja.
 
Chukua begi lako kapange mahali pengine,huko usirudi Tena.
 
Tafuta watu ucku ingia nao ndan mmevaa kama waganga wa kienyeji af mkifika wambie wazee kafara yangu kwenu ndo hii naomba achinjwe haraka Sana zuga kumshika Kwa nguvu af mpen nafac mpishen akimbie ***** hatud tena mcndikize na ubapa wa panga
Mkuu hii comment imenifanya nimuonyeshe wife huu uzi halaf nikampa asome hii comment, tumecheka mpaka machozi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tafuta watu ucku ingia nao ndan mmevaa kama waganga wa kienyeji af mkifika wambie wazee kafara yangu kwenu ndo hii naomba achinjwe haraka Sana zuga kumshika Kwa nguvu af mpen nafac mpishen akimbie ***** hatud tena mcndikize na ubapa wa panga
Mkuu fanya check up ya fuvu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ lipo tupu fuvu lako
 
Tafuta watu ucku ingia nao ndan mmevaa kama waganga wa kienyeji af mkifika wambie wazee kafara yangu kwenu ndo hii naomba achinjwe haraka Sana zuga kumshika Kwa nguvu af mpen nafac mpishen akimbie ***** hatud tena mcndikize na ubapa wa panga
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚eti msindikize na ubapa wa panga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…