Ulitumia mbinu gani kumuondoa mwanamke aliyeng'ang"ania gheto?

Tafuta watu ucku ingia nao ndan mmevaa kama waganga wa kienyeji af mkifika wambie wazee kafara yangu kwenu ndo hii naomba achinjwe haraka Sana zuga kumshika Kwa nguvu af mpen nafac mpishen akimbie ***** hatud tena mcndikize na ubapa wa panga
Huu ukatili sasa😂😂😂😂😂😂😂.
Mwamba akihitaji waganga feki waziada anishtue niende nae.
 
Hakuna ugumu wowote kumwambia mwanamke haupo tayari kumtunza kama mke wako na kuishi nae. Ni udhaifu kuahindwa kufanya hivyo.
Mkuu kama una roho ya namna hiyo...
We jamaa sio sizani kama una uhusiano mzuri na jamii yako..

Kweli unamwambia mwanamke hivo serious unaanzaje kwanza...

Unakua unamwangalia au unakua unaangalia chini...?
 
Mkuu kama una roho ya namna hiyo...
We jamaa sio sizani kama una uhusiano mzuri na jamii yako..

Kweli unamwambia mwanamke hivo serious unaanzaje kwanza...

Unakua unamwangalia au unakua unaangalia chini...?
Hakuna maisha huru ya kingono na kimapenzi kama maisha ya kuukwepa unafiki. Jaribu utakubali.

Yaani humtaki mtu tafuta namna nzuri ya kumweleza kuwa humuitaji huku ukizingatia ubinadamu.

Unafiki wa mapenzi huleta maafa, mwenzako anakuwa hajui unachotaka sababu wewe ni mnafiki.

Mara nyingi mnafiki ni looser, anaishia kuzaa na asiyemtaka, anaishia kuishi na asiyemtaka, anaishi maisha ya kupretend n.k
 
Duuuuh aiseee ila hii imeenda mkuu.
Daah pengine nilichelewa kukujua mkuu haya madini ni wazi wewe upo sehemu fulani....

"""Mara nyingi mnafiki ni looser, anaishia kuzaa na asiyemtaka, anaishia kuishi na asiyemtaka, anaishi maisha ya kupretend n.k"""
 
Uko sahihi kabisaaa!!
 
Njia 1. Tafta rafiki wa kike uje nae pale mmeshikana mikono then unamtambulisha kama binamu yako...

Njia 2. Mwambie baba mwenye nyumba azuge kama anawafukuza kodi imeisha...

Njia 3. Mwambie aende kwao kama atakuelewa...

Njia 4. Vuna ulichokipanda...
 
Pamoja sana mkuu.
 
Mkuu kama una roho ya namna hiyo...
We jamaa sio sizani kama una uhusiano mzuri na jamii yako..

Kweli unamwambia mwanamke hivo serious unaanzaje kwanza...

Unakua unamwangalia au unakua unaangalia chini...?
Yaani mtu ang'ang'anie kwangu? Anaanzaje? Namwambia straight go to your place,your time here is up.
 
Mwambie unapata mgeni kesho sema ni kaka yako au mdogo wako,aje na begi kabisa,huyo mwambie akupishe kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…