Ulivyokuwa mdogo ulikuwa na ndoto ya kuja kufanya kazi gani?

Ulivyokuwa mdogo ulikuwa na ndoto ya kuja kufanya kazi gani?

ephen_

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2022
Posts
14,949
Reaction score
54,485
Leo nimekumbuka kipindi nipo mdogo nilikua na ndoto ya kuja kua Miss Tanzania.

Akili yangu yote ilikua inajua Miss Tanzania ni kazi kama daktari, mwanasheria, mwalimu au kazi zingine.

Nilivyofika form 1 ndo nikajua kumbe sio kama nilivyodhani, hapo nikapata mawazo ya kua mwanauchumi mpaka sasa napambania ndoto yangu.

Mliotimiza ndoto zenu nyoosheni mikono juu tuwapigie makofi!😹
 
Leo nimekumbuka kipindi nipo mdogo nilikua na ndoto ya kuja kua Miss Tanzania.😂 Akili yangu yote ilikua inajua Miss Tanzania ni kazi kama daktari, mwanasheria, mwalimu au kazi zingine.

Nilivyofika form 1 ndo nikajua kumbe sio kama nilivyodhani, hapo nikapata mawazo ya kua mwanauchumi mpaka sasa napambania ndoto yangu.

Mliotimiza ndoto zenu nyoosheni mikono juu tuwapigie makofi!!!!!😹
ndoto zinaotwa na sisi wazee, vijana wanaona vision/maono
 
Back
Top Bottom