min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Nilitamani kuwa dr , mwisho wasiku nikasomea ukunga [emoji16] pcb ya kipndi hicho sio mchezo, 4 years udom,mwisho wa siku nikatemana na kazi nipo tu kitaa nina beti.Leo nimekumbuka kipindi nipo mdogo nilikua na ndoto ya kuja kua Miss Tanzania.
Akili yangu yote ilikua inajua Miss Tanzania ni kazi kama daktari, mwanasheria, mwalimu au kazi zingine.
Nilivyofika form 1 ndo nikajua kumbe sio kama nilivyodhani, hapo nikapata mawazo ya kua mwanauchumi mpaka sasa napambania ndoto yangu.
Mliotimiza ndoto zenu nyoosheni mikono juu tuwapigie makofi![emoji81]