Ulivyokuwa mdogo ulikuwa na ndoto ya kuja kufanya kazi gani?

Ulivyokuwa mdogo ulikuwa na ndoto ya kuja kufanya kazi gani?

Ndo kazi gani wakili au
Upadre ulikuwa damuni nilikuwa nahudumia mbele pale mda mwingine nilikuwa naiba ekarist ambazo azijabarikiwa na vitaamba naenda nyumban nachukua misale ya kanisa naanza kujiimbisha mpka mam akawa anasema utakuwa chizi

Kwa. Njia yake pamoja nae na ndani yaake wewe Mungu baba mwenyezi unapata heshima yote na utukufu hata milele kwahiyo sisi pamoja na jeshi la malaika wa mbinguuni tunaimba utenzi wa utukufu tukisemaaa bila mwishoooooo

Nakamaliza shule nikata kwenda kuwa bruda mpaka form nikachukua mam akanikataza akaita watu na watu kuongea na mimi dah ila nikiwaonaga naona wivu sana
Hongera!!
Asante
 
Maisha ya tz ni kubeti , unalima unabeti mvua inyeshe , unafungua biashara unabeti wateja waje , wasipo kuja mkeka wa sku unachanika , unafungua mgahawa una bahatisha wateja waje wasipo kuja chakula una mwaga , unabeti Mungu yupo na haujawahi mwona ili ukifa ubeti kwnda peponi , unabeti unaenda kulala , kesho ukiamka utafanya jambo fulani na hauna uhakika kama utaamka, maisha hauwezi yatenga na kubeti hasa nchi zetu za ulimwengu wa tatu.
kuna mtu niliona aliandika humu;

'things are unpredictable, sometimes hope is meaningless'

ukweli mchungu huu wa maisha kwa ujumla
 
Nilikua natamani kuwa fundi magari, namshukuru Mungu nilivyofika form one nikatamani kua Electrical engineer, kweli nilivyomaliza form six nikaomba kusoma electrical engineering pamoja na Mechanical engineering nikachaguliliwa kusoma Mechanical engineering, mpaka Sasa nashika spana vya kutosha licha ya kujiajiri kwenye ufundi wa machine za viwandani. Sio haba niko mulemule.
 
Nilikua natamani kua fundi magari, namshukuru Mungu nilivyofika form one nikatamani kua Electrical engineer, kweli nilivyomaliza form six nikaomba electrical engineer pamoja na Mechanical engineer,nikachaguliealiwa kusoma Mechanical engineer, mpaka Sasa nashika spana vya kutosha licha ya kujiajiri kwenye ufundi wa machine za viwandani. Sio haba niko mulemule.
Makofi kwako👏
 
Upadre ulikuwa damuni nilikuwa nahudumia mbele pale mda mwingine nilikuwa naiba ekarist ambazo azijabarikiwa na vitaamba naenda nyumban nachukua misale ya kanisa naanza kujiimbisha mpka mam akawa anasema utakuwa chizi

Kwa. Njia yake pamoja nae na ndani yaake wewe Mungu baba mwenyezi unapata heshima yote na utukufu hata milele kwahiyo sisi pamoja na jeshi la malaika wa mbinguuni tunaimba utenzi wa utukufu tukisemaaa bila mwishoooooo

Nakamaliza shule nikata kwenda kuwa bruda mpaka form nikachukua mam akanikataza akaita watu na watu kuongea na mimi dah ila nikiwaonaga naona wivu sana
Wazazi walikuwa na hofu ukiingia kwenye Upadri hautaweza kuwaletea Wajukuu

Na kwenye vitu Wazee hutamani ni kupata Wajukuu mapema

Me kuna wakati Bi Mkubwa wangu hadi akanitamkia nifanye mambo nimpelekee Mjukuu, nikamwambia nitaoa na kupata watoto muda ukifika

Bahati mbaya amefariki akiwa hajaona huyo Mjukuu kutoka kwangu 😢🙆‍♂️
 
Pole sana

Mama angu alikuwa mkali sana tena aliposikia nachukua form za ubrother ndio kuzid ningekuwa salvatory pale kurasini now nilikuwa nikienda kanisan lazimw nipitie pal
 
Pole sana

Mama angu alikuwa mkali sana tena aliposikia nachukua form za ubrother ndio kuzid ningekuwa salvatory pale kurasini now nilikuwa nikienda kanisan lazimw nipitie pal
Nimepoa Mkuu 🙏

Kama una hiyo ndoto unaweza kupata mtoto wako mmoja akaingia kwenye hiyo huduma.

Wanasema damu nzito kuliko maji, huenda Mungu akatimiza ndoto yako kupitia Kijana wako miaka ya usoni
 
Yeah ni kweli, vyema mtoto achague mwenyewe kazi atakayopenda mwenyewe kuifanya ila ni muhimu Mzazi/Wazazi wasiwe mbali kuweza kumuongoza
Yah ila nikiendaga kanisan naumiaga mda mwingine nilikuwa kipapa enzi izo
 
Back
Top Bottom