ndoto zinaotwa na sisi wazee, vijana wanaona vision/maonoLeo nimekumbuka kipindi nipo mdogo nilikua na ndoto ya kuja kua Miss Tanzania.😂 Akili yangu yote ilikua inajua Miss Tanzania ni kazi kama daktari, mwanasheria, mwalimu au kazi zingine.
Nilivyofika form 1 ndo nikajua kumbe sio kama nilivyodhani, hapo nikapata mawazo ya kua mwanauchumi mpaka sasa napambania ndoto yangu.
Mliotimiza ndoto zenu nyoosheni mikono juu tuwapigie makofi!!!!!😹
Nipo nipo tu.Kwahiyo umekua mchumi au muhasibu?😂
Kazi ipi ya uhasibu? Umri umekwenda sana kwa sasa sikubali mafunzo.Mungu atakupa kazi yako weka juhudi!
hata baiskeli sina😂Sasa ipi imefanikiwa kati ya hizo?
Muhimu mkono uende kinywani Hongera tho!Duh! Huwa sitamani hata kukumbuka, ila nitamani kuwa rubani ama mtangazaji wa redio na tv na leo nafanya kazi ambayo sikuwahi hata kuvutiwa nayo.
Ni vile inanipa kipato kizuri cha kuendesha maisha yangu na familia.
kama ni pisi unaolewa tu basi😂Kwasasa ni jobless ndiyo😒