Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Hahaha.............ila zisiwe nyingi tu 🤪Nitakukopesha dhambi dhangu[emoji124]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha.............ila zisiwe nyingi tu 🤪Nitakukopesha dhambi dhangu[emoji124]
Nimeikubali 😅😅😅😅Maisha ya tz ni kubeti , unalima unabeti mvua inyeshe , unafungua biashara unabeti wateja waje , wasipo kuja mkeka wa sku unachanika , unafungua mgahawa una bahatisha wateja waje wasipo kuja chakula una mwaga , unabeti Mungu yupo na haujawahi mwona ili ukifa ubeti kwnda peponi , unabeti unaenda kulala , kesho ukiamka utafanya jambo fulani na hauna uhakika kama utaamka, maisha hauwezi yatenga na kubeti hasa nchi zetu za ulimwengu wa tatu.
Nimesoma comment zote Mimi kwangu hakuna tunayefanana hata.Leo nimekumbuka kipindi nipo mdogo nilikua na ndoto ya kuja kua Miss Tanzania.
Akili yangu yote ilikua inajua Miss Tanzania ni kazi kama daktari, mwanasheria, mwalimu au kazi zingine.
Nilivyofika form 1 ndo nikajua kumbe sio kama nilivyodhani, hapo nikapata mawazo ya kua mwanauchumi mpaka sasa napambania ndoto yangu.
Mliotimiza ndoto zenu nyoosheni mikono juu tuwapigie makofi!😹
Makofi kwako👏🥺🥺🥺Nimesoma comment zote Mimi kwangu hakuna tunayefanana hata.
Kwangu Iko hivi...!
Ndoto yangu ilikuwa kuwa daktari na sasa nimetimiza baada ya miaka kadhaa kupita sikukata tamaa kamwe niliamini ndoto yangu siku moja itatimia na sasa imetikia.
1.Kidato cha sita nilichaguliwa PCM badala ya PCB na shule nilichaguliwa haikuwa na tahasusi ya PCB baba alifariki nikiwa kidato cha tano nikakosa wa kunipambania nihame shule yenye tahasusi ya PCB .Ikabidi nikubali kuendelea na PCM
Kibwagizo "MOYO WA MTU ULIPO NDIPO NA HAZINA YAKE ILIPO"
2.PCM nikafaulu nikachaguliwa kusoma Electronics Engineering.Nikamaliza miaka minne wakati huo ndoto ya udaktari bado Ipo !
"MOYO WA MTU ULIPO NDIPO NA HAZINA YAKE ILIPO"
3.Nikapata kazi kama mhandisi wa vifaa tiba (Medical Electronics Engineer) ,wakati naendelea kufanya kazi nakatafu chuo cha diploma in clinical medicine ,Nilisoma huku ninafanya kazi ya uhandisi haikuwa rahisi lakini nilijinyima muda na starehe nyingine zote.
"MOYO WA MTU ULIPO NDIPO NA HAZINA YAKE ILIPO"
4.Uhandisi pamoja na kuwa ulikuwa unalipa lakini sikuwahi kuufurahi ,.Baada ya kumaliza diploma ya utabibu niliacha kazi ya uhandisi na kwenda serikalini na kuajiliwa kama" CLINICAL OFFICER"
Niliacha mshahara wa TSH 1.0M na kwenda kwenye mshahara wa TSH 0.5M
Wengi walinicheka sana na ndugu wengine waliniona tahira na wakaacha kuongea na Mimi ,.Wakasahau nilivyowalilia iliwanisaidia kuhamia shule yenye PCB wanakataa
"MOYO WA MTU ULIPO NDIPO NA HAZINA YAKE ILIPO"
5.Nikiwa kazini niliomba ruhusa ya kwenda kusoma MD (5yrs) wakati huo nina mwaka mmoja kazini kama AFISA TABIBU (CLINICAL OFFICER ).Afisa utumishi akaniambia hawezi kuniruhusu kwakuwa sijatimiza vigezo ,nikaambiwa nitoe shilingi milioni 1 aniruhusu .Nikaenda banki kukopa TSH 12M nikachukua TSH 1M nikampa Afisa utumishi .TSH 10M zote nikalipa ada ya miaka 2,miaka mingine iliyobaki nitajua mbele ya safari
"MOYO WA MTU ULIPO NDIPO NA HAZINA YAKE ILIPO"
6.Kwa shida sana MD nikamaliza ,nikaenda Internship nikarudi kazini nikapewa kwanza kuwa Mganga mfawidhi wa hospitali
"MOYO WA MTU ULIPO NDIPO NA HAZINA YAKE ILIPO
7.Kwa sasa ni PhD (
candidate) Neuroanatomy
Kabisa hii nayo ni side effect nyingine siyo shida sana !Ila nahisi umezeeka ukiwa bado unasoma😪
ajali? huogopiNdoto yangu mimi ilikuwa nifanye kazi yeyote ambayo itaniwezesha kusafiri pande zote za Dunia, kwa kifupi mimi napenda sana kusafiri, imagine upige misele Dunia huku unalipwa
Ndoto za kuwa fulani utotoni zinatokana na watu unaowaona na wanakuzunguka, watoto wanawajua madaktari, walimu, mapolisi, manesi( wa kike), wanajeshi nkLeo nimekumbuka kipindi nipo mdogo nilikua na ndoto ya kuja kua Miss Tanzania.
Akili yangu yote ilikua inajua Miss Tanzania ni kazi kama daktari, mwanasheria, mwalimu au kazi zingine.
Nilivyofika form 1 ndo nikajua kumbe sio kama nilivyodhani, hapo nikapata mawazo ya kua mwanauchumi mpaka sasa napambania ndoto yangu.
Mliotimiza ndoto zenu nyoosheni mikono juu tuwapigie makofi![emoji81]
Kweli kabisa!Ndoto za kuwa fulani utotoni zinatokana na watu unaowaona na wanakuzunguka, watoto wanawajua madaktari, walimu, mapolisi, manesi( wa kike), wanajeshi nk
Marubani utawajua kwa kuhadithiwa tuu
Kuna proffesional nyingi huwezi kuzijua ukiwa mtoto
Mfano wafamasia, wataalam wa maabara, sijui mainjinia wa michoro, umeme, makenika, nk utawajulia wapi ukiwa mtoto?
Watu wa IT, mtoto gani ataulizwa unataka kuwa nani aseme kuwa mwana IT, ama wale watu wa kilimo mzumbe pale?
90%, watasema madaktari kutokana na wanavyosifika mtaani na watoto wakiumwa wanajua kwa daktari ni kwenda kupona
% 10 iliyobaki ndio husema kazi zingine
Ndoto zingine ni za kuota tu sio lazima kuzifanikishaUmefanikisha?
Ajali sio ya kuogopa ndio maana ikaitwa ajaliajali? huogopi
Yesu ni Bwana na Mwokozi
Inamaana akina Gesase na Kibusi ukaona uachane nao tu mkuuNilitamani kuwa dr , mwisho wasiku nikasomea ukunga [emoji16] pcb ya kipndi hicho sio mchezo, 4 years udom,mwisho wa siku nikatemana na kazi nipo tu kitaa nina beti.
Kuwa dereva taxLeo nimekumbuka kipindi nipo mdogo nilikua na ndoto ya kuja kua Miss Tanzania.
Akili yangu yote ilikua inajua Miss Tanzania ni kazi kama daktari, mwanasheria, mwalimu au kazi zingine.
Nilivyofika form 1 ndo nikajua kumbe sio kama nilivyodhani, hapo nikapata mawazo ya kua mwanauchumi mpaka sasa napambania ndoto yangu.
Mliotimiza ndoto zenu nyoosheni mikono juu tuwapigie makofi![emoji81]