Uliwahi ku-date na mtu wa aina hii?

Kama UKIMWI ungekuwa unaambukiza kirahisi hivyo wengi wangeisha.
Wewe sio wa kwanza kujipa moyo, siku unaudaka ndio utajua hujui.
Aliye engineer Ukimwi pia hakuwa mzembe ivo unavyofikiria
 
We ni mfano wa kuigwa. Hiyo ndio maana ya busara. Busara lazima itawale maamuzi vinginevyo starehe ya dakika kadhaa inaweza kuleta majuto ya kudumu!!
Madaktari, wanasaikolojia na majasiri wa JF wanaona mi mzembe.
Hizi fake ID zinatusaidia sana ujue ingetokea tukajuana sijui ingekuwaje.

Anyway uhai ni muhimu kuliko vyote, siwezi kupata maambukizi kizembe kwa kisingizio cha ujasiri.

Experience inaonyesha ujasiri unaweza kukugharimu maisha kama hutakuwa na kiasi
 
Reactions: Mu7
Yupo hapa ghetto kwang mkuu ataondok jumatatu acha mm niendelee kujipigia mwenyew
 
Kwahiyo Baada ya kuamka asubuhi ulimpa hela hata ya nauli?! Alafu inaoneoana wewe ni Ni Mwananchi, unasimamia misimamo yako Hongera,
 
kuna kitu umekosea.......ungepiga PUNYETO in front of her........angekuelewa vema.....
 
Ubovu wa maisha unaweza kimbia zinaa kesho ukaenda na ajali..[emoji51][emoji51]
Maisha hayana formular haya.
Dah!!!, Maisha yetu wanadamu fumbo kubwa Sana,tuombe tu Uzima Mungu atujalie.Pia kuomba kifo chema muda mfupi kabla ya kifo tujipatanishe naye.Fullstop.Mengine mbwembwe tu.
 
Umenena jambo la busara sana. [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…