Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
Watu8 msome hapaTrue, kule wameshika sana dini, halafu wapishi wa kipemba hawapendi kukirimu wageni Wagalatia!, kiukweli kuna watu tuna dhambi!, mkisikia tunaadhibiwa!, acheni tuu tuadhibiwe!, mtu unadanganya uonjeshwe na ukipendezewa, eti uko tayari kusilimu!, mtu hadi unavaa kanzu na baraghashia ili tuu ukirimiwe, ukaribishwe chakula!.
P
Hii inanikumbusha enzi za ujana nilikwenda kwenye mkesha wa xmass ili tu niambulie chakula. Ili kukamilisha hili nilijiaminisha kwa familia yote ya mpishi kuwa mimi ni mcha Mungu mno kiasi cha kualikwa kwenda nao kwenye mkesha. Plan ilikuwa tuchomoke na mwenzangu tukale vyetu.True, kule wameshika sana dini, halafu wapishi wa kipemba hawapendi kukirimu wageni Wagalatia!, kiukweli kuna watu tuna dhambi!, mkisikia tunaadhibiwa!, acheni tuu tuadhibiwe!, mtu unadanganya uonjeshwe na ukipendezewa, eti uko tayari kusilimu!, mtu hadi unavaa kanzu na baraghashia ili tuu ukirimiwe, ukaribishwe chakula!.
P
Sidhani kama anamaanisha vyakula hivyo huyi Paskali
Watu8 msome hapa
Chakula ni kitu chochote kinacholiwa iwe ni kupenda kutafuna nyama, au kumega tunda, kula ni kula tuu, mbaya kukomba mboga!.Comrade Pascal Mayalla hebu weka maelezo vizuri 😅
Jukwaa mapishi, vyakula vinavyotajwa naona vinapishana na vile vya jikoni...
Paskali ni noma nimesoma hayo mataifa alowahi kula chakula dah😅😆 msululu...Comrade Pascal Mayalla hebu weka maelezo vizuri 😅
Jukwaa mapishi, vyakula vinavyotajwa naona vinapishana na vile vya jikoni...
🤣🤣✌ mkuu Taifa lipi lina chakula delicious kati ya yote ulowah kula?Chakula ni kitu chochote kinacholiwa iwe ni kupenda kutafuna nyama, au kumega tunda, kula ni kula tuu, mbaya kukomba mboga!.
Pasco.
Sisi watu wa Kanda ya Ziwa, tunapenda sana kula vyakula vizuri!, enzi zangu za ujana, ningewapanga... ingekuwa ni kutoka Tegeta mpaka Feri!.Paskali ni noma nimesoma hayo mataifa alowahi kula chakula dah😅😆 msululu...
Kwanza the taste is the atitude of mind!. Tumeishi South the food looks so tasty, I never enjoyed the South African meals, ugali wao wanaita pulp they are bulky but tasteless!. Sasa sisi watu wa kula kula nimerudi second time with another friend, umefikia the same place the same club mpishi kakuona anaamua kukuletea chakula kumbe wewe umepanga kubadili mboga hivyo unazuga umeshiba!. At the same time rafiki uliye nae anapendezewa, una mu introduces. Next day jamaa anakuambia the food was so delicious!.🤣🤣✌ mkuu Taifa lipi lina chakula delicious kati ya yote ulowah kula?
Kwa kuongezea taste ya utamu wa chakula pia unategemea rangi, bahati mbaya sana sijawahi kuenjoy vyakula vya kizungu kama macaroni laini laini, spaghetti etc, kwangu ni tasteless, ila ngozi nyeusi..., hata hizi ngozi nyeusi, the darker the skin, the sweeter the meat, kama ilivyo kwenye nyama, the nearer the bone, the sweeter the meat!. Enjoy Black Beauty: Did You Know They Are Two Types?!. Black Inside Out & Black Out, Inside Red!.🤣🤣✌ mkuu Taifa lipi lina chakula delicious kati ya yote ulowah kula?
📌📌📌taste is the atitude of mind!
Huyo mke wa balozi mpaka leo yupo? Duh..hatariousVisa vya Misosi,
There are times the home cooked meals are more delicious, than vyakula vya hoteli, hivyo nikifika baadhi ya nchi, nawauliza Watanzania sehemu za vyakula vya kibongo.
Kuna baadhi ya nchi mpaka tuna hotels za Wabongo mfano Jo Burg.
Tena kuna wakati nilikuwa nchi fulani, Balozi ananijua, akanishauri huna haja ya kulipia hotel, kwangu nina guest wing, save your dollars!.
Kumbe mke wa Balozi ni house wife, halafu Balozi anawakilisha more than one country.
Mimi without knowledge kuwa Balozi kasafiri, nikiwa kwenye safe house sina tabia ya kufunga mlango, ila sizimi taa, mara around saa 7, naona mtu anafungua mlango bila kugonga na kuzama chumbani huku amevaa a transparent night dress!,
Samahani shemeji nimekuja bila hodi nilipoona guest wing taa iko on nikajua umelala hivyo nimekuja kukuzimia taa ila kuna bed light kama unaogopa giza!. Mbona hilali?, nikajibu sina usingizi!, akachukua remote mezani na kuniwashia TV, kumbe kule kuna channels za PPV, ameweka na kuniambia huku amejilegeza kitandani!, kiukweli Roho Mtakatifu alinishukia na kunipa uwezo wa kuepuka kishawishi hicho!.
Kuna wanawake wengi wanadhani ukimuwekea mwanaume video zile na kuji avail yourself dressed suggestively, no man can resist, kwanza nilishika remote na kuzima TV, kisha nikamshukuru politely kuni take care nikasema nitazima taa, na kumuwish good night. Akaamka huku amechoka sana!.
The remaining days za ugeni wangu hapo kwao, was agonizing to her!, hivyo pamoja na kula kula yangu yote, sio kila nikiona msosi nafakamia, kuna misosi mingine mtu unakaribishwa na huku una njaa lakini huli.
P
Yes Mke wa Balozi yupo ila Balozi, very unfortunately he is deceased!.Huyo mke wa balozi mpaka leo yupo? Duh..hatarious
Vijana wa kula tunda kimasikhara, njooni muone muhenga aliwaangusha tena ughaibuni!Visa vya Misosi,
There are times the home cooked meals are more delicious, than vyakula vya hoteli, hivyo nikifika baadhi ya nchi, nawauliza Watanzania sehemu za vyakula vya kibongo.
Kuna baadhi ya nchi mpaka tuna hotels za Wabongo mfano Jo Burg.
Tena kuna wakati nilikuwa nchi fulani, Balozi ananijua, akanishauri huna haja ya kulipia hotel, kwangu nina guest wing, save your dollars!.
Kumbe mke wa Balozi ni house wife, halafu Balozi anawakilisha more than one country.
Mimi without knowledge kuwa Balozi kasafiri, nikiwa kwenye safe house sina tabia ya kufunga mlango, ila sizimi taa, mara around saa 7, naona mtu anafungua mlango bila kugonga na kuzama chumbani huku amevaa a transparent night dress!,
Samahani shemeji nimekuja bila hodi nilipoona guest wing taa iko on nikajua umelala hivyo nimekuja kukuzimia taa ila kuna bed light kama unaogopa giza!. Mbona hilali?, nikajibu sina usingizi!, akachukua remote mezani na kuniwashia TV, kumbe kule kuna channels za PPV, ameweka na kuniambia huku amejilegeza kitandani!, kiukweli Roho Mtakatifu alinishukia na kunipa uwezo wa kuepuka kishawishi hicho!.
Kuna wanawake wengi wanadhani ukimuwekea mwanaume video zile na kuji avail yourself dressed suggestively, no man can resist, kwanza nilishika remote na kuzima TV, kisha nikamshukuru politely kuni take care nikasema nitazima taa, na kumuwish good night. Akaamka huku amechoka sana!.
The remaining days za ugeni wangu hapo kwao, was agonizing to her!, hivyo pamoja na kula kula yangu yote, sio kila nikiona msosi nafakamia, kuna misosi mingine mtu unakaribishwa na huku una njaa lakini huli.
P
Nyie wazee huu ndio 'wosia' mnaotuachia ?......jamii imechafuka hii..NB. Kwa vile vyakula vipo vya aina nyingi, na vinaliwa wakati tofauti tofauti, mfano cha asubuhi ambacho ni breakfast, cha mchana ambacho ni lunch, na cha usiku ambacho ni dinner, it's worldwide believed kuwa kitamu zaidi sio cha asubuhi au cha mchana bali ni cha usiku!, hivyo hapa mimi nazungumzia kile 'chakula cha usiku!'!, na ndio maana mialiko mingi ya chakula cha usiku hutanguliwa na kualikwa dinner au kutolewa out, kisha unaishia kujilia!.
It's about being truthful to yourself and very transparent to the society kuhusu mapito yetu tuliopitia, hata ukisikia jamaa amechomoka, utasikitika kwa sababu ulimfahamu, lakini sio kumlilia but to celebrate his life kuwa he lived his life to the fullest!. Mungu ametuleta duniani ili tule raha, ndio maana Eva akamegwa tunda akapata raha, akamlazimisha Adam kumega tunda, wakala raha na kuishia uzingizini!. Mungu ametuumba kula raha!, life is all about kula raha, hivyo kama ni raha tumekula sana na tumefaidi sana tuu!.Nyie wazee huu ndio 'wosia' mnaotuachia ?......jamii imechafuka hii..