Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?

Kwa hiyo unatushauri na sisi 'wanao' tule 'raha'..to the fullest '...?
 
Kwa hiyo unatushauri na sisi 'wanao' tule 'raha'..to the fullest '...
Yes that is the purpose of life, hapa duniani ni tunapita tuu, kule peponi, kila mwanaume ametengewa wanawali 7 wa kumpa raha, na huko ni raha milele, kitu muhimu kwenye kula, kula vinono, usifakamie, usizidishe ukavimbiwa, na angalia usalama kwanza.
P
 
Mfalme Suleiman alikula hizo 'raha' zaidi yako, ila mwishowe alikiri yote hayo ni 'ubatili mtupu '.

Mhubiri 1 :2
Mhubiri asema, Ubatili mtupu, ubatili mtupu, mambo yote ni ubatili.

Mhubiri 1: 8
Mambo yote yamejaa uchovu usioneneka, jicho halishibi kuona, wala sikio halikinai kusikia.

Mhubiri 1 :9
Yaliyokuwako ndiyo yatakayokuwako; na yaliyotendeka ndiyo yatakayotendeka; wala jambo jipya hakuna chini ya jua.

Mhubiri 1: 10
Je! Kuna jambo lo lote ambalo watu husema juu yake, Tazama, ni jambo jipya? Limekwisha kuwako, tangu zamani za kale zilizokuwa kabla yetu sisi.

Mhubiri 1: 11
Hakuna kumbukumbu lo lote la vizazi vilivyotangulia; wala hakutakuwa na kumbukumbu lo lote la vizazi vitakavyokuja, miongoni mwao wale watakaofuata baadaye.
 
Niki read between the line na was was na chakula na hisi ni kile chakula kingine maana mtoa mada ni bingwa la fasihi , na sifa ya fanani wa fasihi ni kuongea asichomaanisha and beyond
Umeambiwa chakula cha usiku yahani dinner 🍲🍴🍽️......elewa chakula cha usiku.
 
Mkwe Mimi kwa list umenishinda ila nimekulia chakula Cha
KINAIGERIA,
KIHINDI
WAFILIPINO
GHANAIAN πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

usisahau kutoa ushuhuda kuwa ladha ya chakula Cha kiafrika imezidi utamu wa Radha ya vyakula vya mataifa mengine...!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚​
 
Wengine tupo sensitive sana na vyakula.

Roho ikikataa unaachana nacho.
Upo kama Mimi...Hadi Kuna muda Huwa najishtukia mwenyeji wangu anadhani pengine Sina njaa...!

Njaa nakuwa nayo ya haja tu ila ndio hivyo Tena mtalimbo unanipa alert niache kiranga urafi utaniua...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚​
 
Mm nilikula chakula cha Tanga aisee hapana wale watu mafundi aisee...
Halafu wambulu nao hawapo nyuma...rangi ya chakula cha kimbulu....sasa!...
Moshi kwetu sio saaana....
 
Mm nilikula chakula cha Tanga aisee hapana wale watu mafundi aisee...
Halafu wambulu nao hawapo nyuma...rangi ya chakula cha kimbulu....sasa!...
Moshi kwetu sio saaana....
Japo nimeonja Radha za vyakula Hadi vya kimataifa ila Radha ya chakula Cha kimachame haijanikifu...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…