Uliwahi kumblock nani mazima mpaka leo hii hujamu unblock lakini pia hufikirii kumdelete

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Kwanini ulimblock, lakini pia ulimdelete au kumu-ignore kabisa kwenye mitandao ya kijamii?

Ni baada au kwasababu ya kupishana, kutofautiana au kushindwana kimahusino mathalani ya kimapenzi, kibiashara, hoja za kisiasa au kijamii, ubishi au msimamo wake kuhusu Jambo fulani n.k

Na Je, hiyo imekusaidia au kukufaidisha chochote, au imekupunguzia au kukuongezea nini kwa mfano ๐Ÿ’

Kumuhifadhi mtu kwenye blockedlist au ignore list, si ni sawa tu na kuendelea kuhifadhi chuki binafsi moyoni mwako na kujiongezea stress za zaidi?

Hivi kublock au kuignore si ni sawa na kuhifadhi kitu kibaya mahali pazuri, ambapo kuna siku unaweza uchungulie na kurestore ile chuki yako dhidi yake upya?

I think kudelete inaweza saidia kidogo, anyway ulimblock nani, rafiki mchonganishi , mpenzi muongo, mdeni wako, msaliti wako, msumbufu wako, mbishi wako n.k
 
Nimeshawahi kumblock dada mmoja miaka mitatu iliyopita....
Mimi nilimega kisela yeye akawa analeta za kugandana......Hadi Leo hii Sina mawasiliano nae!!
 
Mwanaume kukaa unablock watu huna tofauti na kuzila zila..

Hivi mnakuwaga hamna kazi za kufanya?
 
Hivi mnajikutaga kina nani๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ.. Mara wanao weka status hawana akili nzuri mara kublockiana ujinga heee, mnataka tufanyaje sasa nyie malaika wa Jf eti๐Ÿค”๐Ÿ˜‘??? Maana kila kitu mnasema tabia za kike mara machoko mara sijui nini acheni hizo,
Mtu akizingua anablockiwa tu, na sijawahi kumunblock mtu niliyemblock
 
Aisee Leejay49 wanakera wewe kila unachofanya unaambiwa tabia za kike, cjui wapoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ