Uliwahi kumblock nani mazima mpaka leo hii hujamu unblock lakini pia hufikirii kumdelete

Kuna kadada flani ivi nilikablock sababu ya usumbufu Whatsapp hata kuchat hakajui nikaona isiwe tabu
 
Option ya ignore/block iliwekwa mahsusi kwa ajili ya watu wasioendana, waliopishana na ambao hawataki tena interaction. Humu jf tu nikiona mtu na pigo sizielewi naignore.
 
Naunga mkono hoja
 
Option ya ignore/block iliwekwa mahsusi kwa ajili ya watu wasioendana, waliopishana na ambao hawataki tena interaction. Humu jf tu nikiona mtu na pigo sizielewi naignore.
hizo kabati za block na ignore list si bado zinakuepo tu kwenye kifaa chako cha mawasilino na kuna siku unaweza chungulia ukamuona ulomblock au kumuignore na akarestore upya kilichofanya ukamblock?
 
Lile eneo la block list huwa sitembelei na mara nyingi nikishablock nikaliona eneo lenye list nafuta pia panakua wazi. Humu JF ignore list huwa siitembelei hivyo nshawasahau wakazi wa huko
unamsahau vip angali umemuhifadhi vizuri sana tena katika file maalum, katika simu au kifaa chako cha mawasilino? πŸ’
 
Lile eneo la block list huwa sitembelei na mara nyingi nikishablock nikaliona eneo lenye list nafuta pia panakua wazi. Humu JF ignore list huwa siitembelei hivyo nshawasahau wakazi wa huko
I think deleting is the best thing...

haya ya kumuhifadhi mtu kwenye blocklist au ignore list mahali ndio yale ya nimekusahehe lakini sintokusahau.....πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…