Uliwahi kumblock nani mazima mpaka leo hii hujamu unblock lakini pia hufikirii kumdelete

Embu nikachungulie niliowablock kwanza wengi wale was kampuni za kukopesha mtandaonii
angalau wew una sababu ya msingi 🀣

ila dawa ya deni ni kulipa, hiyo ya kublock ni sawa na Panadol tu ya kutuliza maumivu πŸ’
 
Au mtu mwingine unamwambia ikifika saa nne usiku usinipigie simu nakuwa na mke wangu, lakini yeye ndio unakuwa kama umemwagiza anapiga tu anatwanga tu tu tu.

Sasa dawa yake ikifika saa nne hata huongei sana, unamtia lockup unakuja kumwachia saa mbili asubuhi.
 
Duh kumbe una hasira hivi
 
angalau wew una sababu ya msingi 🀣

ila dawa ya deni ni kulipa, hiyo ya kublock ni sawa na Panadol tu ya kutuliza maumivu πŸ’
Na jamaa wa namba nyingi walee dakeii zao lkn nna wiki Kama mbili hawajanitafuta hata Kama wananitafuta Kasi imepungua
 
Kulipa natamani lkn Sasa hela Sina nafanyaje unadhan na kila siku riba inaongezekaaa
angalau wew una sababu ya msingi 🀣

ila dawa ya deni ni kulipa, hiyo ya kublock ni sawa na Panadol tu ya kutuliza maumivu πŸ’
 
Nyie mnaosema kublock mtu ni tabia za kike ndo amjielewi kwaiyo mlitaka mtu akubaliane na Kila kitu tu ata vya kipuuzi wakati unauwezo Wa kuvifanya visikufikie
 
Mtu akikera unamblock chap kwa haraka. Block list yangu Ina watu wengi sana hasa ya WhatsApp πŸ˜‚πŸ˜‚.
sasa dah 🀣🀣

ukichungulia hiyo blocklist si tena unaamsha kilichokusababisha ukawablock πŸ’
 
hizo kabati za block na ignore list si bado zinakuepo tu kwenye kifaa chako cha mawasilino na kuna siku unaweza chungulia ukamuona ulomblock au kumuignore na akarestore upya kilichofanya ukamblock?
Inawezekana ndio, ila kama hutaki kabisa unafuta namba kabisa. Huwezi ku associate na mtu mnakwazana kila mkiongea.
 
Inawezekana ndio, ila kama hutaki kabisa unafuta namba kabisa. Huwezi ku associate na mtu mnakwazana kila mkiongea.
Inawezekana ndio, ila kama hutaki kabisa unafuta namba kabisa. Huwezi ku associate na mtu mnakwazana kila mkiongea.
ya kufuta kabisa inakuweka huru zaid kuliko block na ignore πŸ’
 
hizi ndio hoja na sababu za msingi za kublock. Na inawezekana hii ni miongoni mwa sababu za kuwekwa sehemu ya kublock....

kwa muda fulani nakublock halafu nakuachia ktkt muda mwingine πŸ’
 
Hizi mambo tabia za kike, tabia za kichoko nk ni ujinga tu.

Sasa kumblock mtu na uchoko vinaingilina vipi??
Block button ni kwa ajili ya ke pekee??.

Kuna watu wanakutumia matangazo non stop, ambayo wala hayakuhusu wala huna uhitaji nayo, hao unablock, hao hata ukifuta namba zao unakua hujatatua tatizo.
 
🀠🀠🀠🀠🀠🀠!

True love comes with jealous in it. Si ya kucheka walai 🀣🀣🀣🀣🀣🀭!
Ushani block sana tu... Hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…