Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aiseee dahNilikua naogopa somo la hesabu shule ya msingi. Wakati nipo darasa la 5 kipindi cha likizo kaka angu akawa ananifundisha ndipo nikaja kugundua kumbe ulikua uoga wangu tu ila hisabati ni somo rahisi sana. Mtihani wa taifa darasa la 7 nilifaulu kwa daraja la kwanza na hesabu nilipiga 50/50 nikachaguliwa kujiunga kidato cha kwanza azania secondary

Umesoma mwaka ganiNilikua naogopa somo la hesabu shule ya msingi. Wakati nipo darasa la 5 kipindi cha likizo kaka angu akawa ananifundisha ndipo nikaja kugundua kumbe ulikua uoga wangu tu ila hisabati ni somo rahisi sana. Mtihani wa taifa darasa la 7 nilifaulu kwa daraja la kwanza na hesabu nilipiga 50/50 nikachaguliwa kujiunga kidato cha kwanza azania secondary
Nondo Bakari Mwamnyeto.Nilikuwa naogopa kutongoza siku zaenda upwiru nao ukawa unanishambulia!,nikajikaza nikaimbuisha mtoto mmoja hivi nyuma sio kabinuka ni kabenjuka! Babu nilikataliwa vibaya nikajiona mimi sio binadamu ni ng'ombe!!.
Zikapita siku upwiru ukawa unanihamasisha nitongoze tena nikatongoza kitoto chakawaida tu sema ngozi ya mtume! Na mara hii nikakataliwa! Hiyo siku nililia huku napiga kelele hadharani kwa watu nalalamika ya kwamba mi upwiru wangu niupeleke wapi sasa?
Nilikaa mwezi mmoja nikaona nyie waja msinitanie nikazama bafuni na sabuni ya unga nikaipendezesha nafsi..😂😂
😂Ukajichukulia sheria mkononiNilikaa mwezi mmoja nikaona nyie waja msinitanie nikazama bafuni na sabuni ya unga nikaipendezesha nafsi..😂😂
Niliogopa sana kuwa mimi, nikavaa uhalisia wa watu wengine. Kumbe njia yangu ni yangu. Tangu nimejikubali, njia yangu imekuwa nyepesi sana kupita na mafanikio ni mengi.Woga na hofu miongoni mwa wangwana wengi humu duniani, vimechelewesha na kukosesha watu vitu na mambo mengi mazuri sana waliyopaswa kua nayo au kuyafikia mapema katika dunia hii.
Majasiri wengi, walioamua na waliothubutu bila kusita walifanikiwa mapema kutimiza ndoto, nia, matarajiao na matamanio yao ya maisha mapema.
Kwa upande wako hofu na woga wako vimekuchelewesha na kukukosesha vitu au mambo gani muhimu maishani mwako? Ulitokaje salama kwenye mkwamo huo, na unajutia hofu na woga wako.
Kumbuka woga wako unaweza kua ndio chanzo umaskini wako
woi, nilikua sichagui njia ya kupita ila now ni.mwendo wakuwakwepa wadeni chocho zote nazijua。huu ndio ukubwa sasa![]()
Yap ila ukizoea unaona ni kawaida tuuKuongea mbele ya watu wengi
Asante sanani baraka ya kipekee sana kushiriki kikamilifu katika kazi ya uumbaji bila hofi wala woga, hongera![]()
kabisaahata hivyo dawa yao ni moja tu, ni kilipa deni tu![]()
Hawana lolote, Kama huogopi kupokea simu ngeni kopa kampuni zote zinazojilengesha.saivi wanasemaje au umeshalipa mkopo wao, na je bado unawakopa?![]()
Huwa najitahidi mno ila kichwa kinasalitifear of uknown sio kitu kizuri, jifunze kuvaa ujasiri, itakusaidia sana![]()
timbu ngekomba hadi ksoko choWekomba swaaaaa duh
sijaelewa chochote, nimefurahia tu silabi za kilugha chenuTlaatlaah usikute umeelewa ee Hope urassa
