Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Cha kiteWekomba swaaaaa duh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha kiteWekomba swaaaaa duh
😆😆Hongera kiwanda kifyatue tuKuzaa,,ila sasa nataka niunde timu ya mpira na kocha wao😎
🤣🤣Hahasha sabuni ya unga ulibugi. Inaunguza.
Nakumbuka kuna kipindi nna nyege nikanyetuka na hizi sabuni.View attachment 3014953
Ilikua wayback before coronavirus.
Oya kidudu kilichubuka kikawa kinatoa magamba kama nyoka.
Manzi yangu alikuja nilizuga naumwa weekend nzima ilipita sijamgusa.
Nilikua naogopa kwenda hospital wangesema yametoka wapi ningesema nn bishoo mimi?
Niliogopa sana kuwa mimi, nikavaa uhalisia wa watu wengine. Kumbe njia yangu ni yangu. Tangu nimejikubali, njia yangu imekuwa nyepesi sana kupita na mafanikio ni mengi
Hili uliwezajeNiliogopa sana kuwa mimi, nikavaa uhalisia wa watu wengine. Kumbe njia yangu ni yangu. Tangu nimejikubali, njia yangu imekuwa nyepesi sana kupita na mafanikio ni mengi.
Kuna mwaka maisha yalizidi kuwa magumu sana ikafikia level siwezi tena ku keep up na baadhi ya marafiki. Basi wakaanza kupunguza mawasiliano na mimi mpaka tukawa hatuwasiliani tena. (Naamini ilikuwa njia aliyotumia Mungu kunitenga nao). Basi taratibu nikawa naridhika nilivyo, na ku appreciate my strengths na kufanyia kazi weaknesses zangu. Ilinichukua muda (zaidi ya mwaka) kujiposition kuwa mimi, na character zangu. Basi tangu hapo nikasimama kama mimi na kufanya mambo kulingana na potentials na character nilizokuwa nazo.Hili uliwezaje
Pole sana tajirikusema ukweli,,sauti yangu mbaya mbaya sanaa,,na kucheza siwezi kabisa
Hongera mkuuKuna mwaka maisha yalizidi kuwa magumu sana ikafikia level siwezi tena ku keep up na baadhi ya marafiki. Basi wakaanza kupunguza mawasiliano na mimi mpaka tukawa hatuwasiliani tena. (Naamini ilikuwa njia aliyotumia Mungu kunitenga nao). Basi taratibu nikawa naridhika nilivyo, na ku appreciate my strengths na kufanyia kazi weaknesses zangu. Ilinichukua muda (zaidi ya mwaka) kujiposition kuwa mimi, na character zangu. Basi tangu hapo nikasimama kama mimi na kufanya mambo kulingana na potentials na character nilizokuwa nazo.
AaahaaMara ya kwanz kupanga gheto nilikua naanza kukusanya kodi ya pango mwezi kabla ya kodi kuisha saivi naanza kukusanya kodi siku ya kulipa kodi
Asante mkuuHongera mkuu
Nyingi sana. Unaweza kumuona mtu ana uwezo kabisa wa kufanya kitu fulani, lakini yeye hajiamini kabisa. Inatia huruma sana.Acha tu ,uoga umeua ndoto nyingi Sana.
Soma vitabu au sikiliza jumbe zinazozungumzia public speaking. Utajifunza mengi sana. Tena kwa kuwa wewe si mropokaji una uwezo wa kupangilia maneno yako kimkakati na ukapata kibali sana na kuwa na ushawishi mkubwa unapoongea. Go for it, usiogope!Huwa najitahidi mno ila kichwa kinasaliti
Jifunze utawezaKuongea mbele ya watu wengi
Kwani ww si ng'ombe?nikajiona mimi sio binadamu ni ng'ombe!!.
Elewa kichwa cha habariJifunze utaweza
Pole kama sikuelewaElewa kichwa cha habari
✌️Pole kama sikuelewa
😄Ntakua nakujua