proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
mbona watu wanacheka hivi na nimeandika tu tukiwa live je Poor Brain dronedrake uko wapi au hauna bundle tukuchangienilikuwa naogopa papuchi lakini saivi hadi nalamba Poor Brain Hope urassa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona watu wanacheka hivi na nimeandika tu tukiwa live je Poor Brain dronedrake uko wapi au hauna bundle tukuchangienilikuwa naogopa papuchi lakini saivi hadi nalamba Poor Brain Hope urassa
huu ni mtego hakika tutanasa kibobori mahoro Hope urassa kibobososijaelewa chochote, nimefurahia tu silabi za kilugha chenu![]()
Hahaha 🤣 🤣 🤣KULA NGURUWE a.k.a kitimoto. Zamani nilikuwa natishwa mara ooh nyama mbaya, mara Ina wadudu, mara ukilanutakufa . Nilipokuja kuoonja aisee !!! Sijui nilichelewa wapi nikiwa nadanganjwa kwa Mila za kiarabu na kilawi
Std 7 nimemaliza mwaka 2004Umesoma mwaka gani
mi nilienda kufanya utakaso hayo mengine unayajua wewe!😂Ukajichukulia sheria mkononi
Ntakua nakujuaStd 7 nimemaliza mwaka 2004
Natumia VPN ila sasa ipo oky ahahahambona watu wanacheka hivi na nimeandika tu tukiwa live je Poor Brain dronedrake uko wapi au hauna bundle tukuchangie
Tupo wengi mkuuKULA NGURUWE a.k.a kitimoto. Zamani nilikuwa natishwa mara ooh nyama mbaya, mara Ina wadudu, mara ukilanutakufa . Nilipokuja kuoonja aisee !!! Sijui nilichelewa wapi nikiwa nadanganjwa kwa Mila za kiarabu na kilawi
😂😂 nmecheka sana dahKuna kipindi nilikopa mitandaoni jamaa wakawa wanasema watanifuata nyumbani kesho.
Sasa kesho yake nikawa nimetoka kidogo, kurudi home nakuta Kuna gari silijui limepaki karibu kabisa na nyumbani. Duh ilibidi nirudi nyuma. Baadaye nikaja kugundua kwamba Ile gari iliharibika na dreva alikua amekwenda kununua spea Kariakoo.
Usanii utaanza lini au bado unaogopa?Kuzaa,,ila sasa nataka niunde timu ya mpira na kocha wao😎
Toka bwana wew 😂Usanii utaanza lini au bado unaogopa?
Woga wako ndio umasikini wakoToka bwana wew 😂
kusema ukweli,,sauti yangu mbaya mbaya sanaa,,na kucheza siwezi kabisaWoga wako ndio umasikini wako
kwahio sasahivi huogopi kuomba kazi mkuukuomba kazi 🐒
nilikua naandika barua hata mara 10, nikikosea hata kuandika herufi F tu, nachana naanza kuandika upya 🐒
Hahasha sabuni ya unga ulibugi. Inaunguza.Nilikaa mwezi mmoja nikaona nyie waja msinitanie nikazama bafuni na sabuni ya unga nikaipendezesha nafsi..😂😂