Uliwahi kuogopa sana kufanya nini ila baada ya muda ukaona ni kawaida tu tena ni kama vile umechelewa kuanza

🤣🤣
 
Niliogopa sana kuwa mimi, nikavaa uhalisia wa watu wengine. Kumbe njia yangu ni yangu. Tangu nimejikubali, njia yangu imekuwa nyepesi sana kupita na mafanikio ni mengi

Niliogopa sana kuwa mimi, nikavaa uhalisia wa watu wengine. Kumbe njia yangu ni yangu. Tangu nimejikubali, njia yangu imekuwa nyepesi sana kupita na mafanikio ni mengi.
Hili uliwezaje
 
Hili uliwezaje
Kuna mwaka maisha yalizidi kuwa magumu sana ikafikia level siwezi tena ku keep up na baadhi ya marafiki. Basi wakaanza kupunguza mawasiliano na mimi mpaka tukawa hatuwasiliani tena. (Naamini ilikuwa njia aliyotumia Mungu kunitenga nao). Basi taratibu nikawa naridhika nilivyo, na ku appreciate my strengths na kufanyia kazi weaknesses zangu. Ilinichukua muda (zaidi ya mwaka) kujiposition kuwa mimi, na character zangu. Basi tangu hapo nikasimama kama mimi na kufanya mambo kulingana na potentials na character nilizokuwa nazo.
 
Hongera mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…