Uliwahi kuonesha jeuri ya pesa hata kama huna, ili kulinda heshima?

Unaambiwa msosi buku 10, unaamua kuondoka. Fikiria watu wanakuchora umeondoka kwa sababu umeshindwa gharama. Daaah noma [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie sijali wallah,Sina mapenzi ya mshumaa mie hahahahaha,tena nikiendaga hata sokoni sinunui vitu kwa mafungu,

Nasema naomba nyanya za buku Sasa muuzaji atajua yeye aninipimiaje,hii ni nzuri balaa.
 
Hii thread tuoneeni huruma mbavu zetu
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
nimewahi fanya hivyo mwakajuzi mkoa fulani. hivi aisee niliteseka sana maana pesa ilikata sasa inabid niingie madeni kuwapigia watu kuwakopa pesa lakini heshima ili wepo ..Hadi boss wa ile hotel alibeba namba yangu ,alijua ninampango sana kumbe mim msajiri tu laini za watu.[emoji1787]
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 

2016 ulinunua iphone 6 plus 1.6? Iphone 6 plus 3016 ulikua unazipata hadi kwa 500k.
 
2016 ulinunua iphone 6 plus 1.6? Iphone 6 plus 3016 ulikua unazipata hadi kwa 500k.

Mhhh hata siku moja,2018 nikaja kununua ya mtu nimtumie mkoani nilinunua 850k.
Simu imetoka 2014 hiyo,isingewezekana miaka miwili iporomoke namna hiyo.
Iphone 12 pro max nayo ina miaka 3 leo,embu kaulize dukani kama utaipata chini ya 1.8mln.
 
Mwafrika ukiwa na gorofa lakini unatembelea baiskeli ajili ya mazoezi basi we ni maskini
Ila umepanga lakini unatembelea gari hata ya kukodi basi we tajiri
Pumbavu sana
Kuna jamaa anakujaga na baiskeli ofisini kila mtu huwa anamshangaa. Kuna siku bosi akamdis kama utani..Ifike wakati vijana wangu muwe na magari ya kuanzia 15m na mwenye baiskeli ajiangalie....
 
kutoa pesa ili nijimwambafy sinaga hiyo hulka mi kiboko yangu ilikuwaga pombe, ikishakaa kichwani naweza kusanya watoto mtaa mzima nikawanunulia juisi, baa nakaa kaunta namnunulia bia mtu yeyote atakaeongea na mimi kwa furaha hata kama simjui, laki 2 inaisha kimaskhara asubuhi naamka na hangover sina hata mia mbovu. Nikaona huku kurogwa huku saivi sitaki hata kuiskia pombe
 
Dharau zinauma asikwambie mtu na especially ukijua kuwa kweli huna kitu ndo mana wanakudharau,ila mimi nilivyo bahili sasa hivi nimejitune kuyakabili maumivu ndani kwa ndani ili nisije kukurupuka kuweka heshima afu unaamka kesho madogo wanataka mkate huna kitu kwasababu uliweka heshima somewhere!
Najikausha mwanzo mwisho liwalo na liwe aisee nahisi haya mambo mnayaweza nyie wanaume tu!
 
Hahahaha

Kiti cha reserve Hishima Kwanza mengine baadae...dadeki Picnic Arusha

Narudi....
 

[emoji23][emoji23] upo kama rafiki yangu akilewa anataka anunulie kila mtu
 
Jana nimeingia salon moja kali sana, ikabidi niulize bei ya kunyoa nikaambiwa 7,000/-. Nilitaka kukimbia ila nilipoangalia zile pisi mle ndani ikabidi nivimbe Nika nikanyoa nikalipa 7000 nikabakiwa na 3000/- siku ikaisha.
 
Jana nimeingia salon moja kali sana, ikabidi niulize bei ya kunyoa nikaambiwa 7,000/-. Nilitaka kukimbia ila nilipoangalia zile pisi mle ndani ikabidi nivimbe Nika nikanyoa nikalipa 7000 nikabakiwa na 3000/- siku ikaisha.
Ukiingia pisi zinaanza kukushika shika mabega na shingo. Lazima ulegee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…