Uliwahi kuonesha jeuri ya pesa hata kama huna, ili kulinda heshima?

Hongera kupata mke ambae hana shida, kama hana shida basi big up
 
Kwa uwezo wako wa fikra ni chai


Chai nilioweka hapo nikuongea kwa mafumbo tu

Hakuna chai

Au hizo namba za milioni zinakuvuruga?[emoji79]
Mbavu zangu mie[emoji23][emoji23][emoji23]eti namba za million[emoji16]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka Kwa nguvu sana aisee
 
Hatari sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Okay mwaka fulan nimeenda kule kariakoo nimefanya biashara na mshikaji mmoja nikapata kama 2.8m, million 2 nikadeposit bank, nikapita msimbazi pale meridian nikakandamiza mkeka wa laki mbili odd ya 10, nikabaki na laki sita, sijakaa vizuri jamaa kanipigia simu njoo 5N nipo na kina lisa na huyo lisa nilikuwa namuwinda kweli nikaenda pale nikakuta kama wanasua sua, shusha sana monde, tukahamia samaki samaki ya mliman kula sana magae, laki sita nlikuwa nimeifunga kwenye rubber band na rubber band ilikuwa imekaza, nachokumbuka ni kwamba kuna muda niliingiza mkono mfukoni nikakuta ma rubber band yamepwaya yan ela zipo kivyake rubber band zipo kivyake daah noma sana, kuja kuhesabu pesa imebaki 185000 mida mibovu nna laki kamili roho ilikuwa inauma kilichofanya isiume sana nilikula ule mkeka bila vile ningetukana sana matusi aisee...
 
Jana nimeingia salon moja kali sana, ikabidi niulize bei ya kunyoa nikaambiwa 7,000/-. Nilitaka kukimbia ila nilipoangalia zile pisi mle ndani ikabidi nivimbe Nika nikanyoa nikalipa 7000 nikabakiwa na 3000/- siku ikaisha.
Kuna mdogo wangu alitumia 21,000 nzima, maana yeye kila alichoambiwa alikubali akijua ni bure.
 
Tena yale manguo ni bei mbaya,Bora ya suruali na brauzi ukiwa na 20 ukienda karume unapata na viatu,

Tuna sehemu za kujiachia

Hahahahaha nimekua Sasa ubishoo nimeacha,
Hapo Zamani Nalikua na Utaratibu Nikikutana na Mwanamke amevaa hayo Majuba yenu nakomaa nae hata iwe kavaa kininja nalikua Nacheza Bahati Nasibu, Na kwa Bahati Iliyo njema sijawahi Kukutana na mbaya [emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…