Uliwahi kuonesha jeuri ya pesa hata kama huna, ili kulinda heshima?

Haaaaahaa
 
Nimecheka balaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimecheka🤣 yalimfika hapaa (huku umeshika koo)
 
Muhimu kulinda heshima[emoji23]
 
Nimewahi kuchoma laki nane kwa sifa za kijinga sana Mwaka juzi, roho iliniuma sana sana.. yaani iliniuma kiasi kwamba kesho yake nikaamua kutoa hela zingine nisafiri tu kuupoza moyo.
Ilikuwaje mkuu
 
Aisee duuu 🤣😅😅
 
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Naomba kusema huu Uzi ni chai, chai yenyewe inakuja kwamba, stendi ya bweri pale Musoma hadi hoteli za sifa unazozitaja pale Musoma mjini huo umbali sio wa kulipa elfu moja bodaboda.

Nawasilisha..
 
Naomba kusema huu Uzi ni chai, chai yenyewe inakuja kwamba, stendi ya bweri pale Musoma hadi hoteli za sifa unazozitaja pale Musoma mjini huo umbali sio wa kulipa elfu moja bodaboda.

Nawasilisha..
Kunywa hivyo hivyo mkuu. Maswala ya stend sio main subject hapa. Ila sikushukia stend kuu. Basi lilishusha vituo zaidi ya vitatu, nilishukia mjini sikumbuki hata panaitwaje
 
Usinipangie cha kuandika.....
 
Uzi utnzwe huu

Enzi nipo chuo Kuna pisi nilikuwa nafahamiana nayo kiaina so nimetoka kipindi nakutana nayo Iko na rafiki zake .......kama kawaida mabaharia hatupendi kuwa underrated

Nikaiuliza vipi mama umekula .....ikajibu hapana labda unitoe offer [emoji16][emoji16]

Nikacheka then nikaiambia usijali mama hivi ni vitu vidg

Kuingiza mkono mfuko wa nyuma na kuanza kuchomoa pesa ...... kumbuka pesa zpo kama 30k but nataka nichomoe 10k tu


Ghafla kikatoka kipande Cha ten (ilichanika mfukoni) .......Daah manzi zilinicheka.....ikabidi nitoe zote Kwa aibu plus huzuni
 
 
Ulivyompa 5k receptionist alisemaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…