Uliwahi kupata mikasa gani kwa kuishi kwa ndugu?

Chanzo Cha yote hayo ni njaa hukosefu wa chakula .

Mimi Nina kilo miatano za mchele na gunia mbili za maharage na Nina pesa za Mboga Sasa ukija kwangu kunitembelea huwezi kugombana na mtu .


Wanawake wana njaa Sana Mnabidi kulifahamu hilo Kama hauna chakula Cha kutosha usimlete ndugu ikiwa unakaa na Mwanamke ataishia kumnyanyasa Mimi nimejionea haya Mambo Nina ndugu yangu yeye anakaaga na vyakula magunia Mengi ya kutosha Sasa pale kwake ndugu wa mke na wa Mume wanakula na kusaza huwezi kuona ugomvi ukitokea Sasa njoo huku kwa Hawa sijui Mwalimu sijui nurse sijui nani huko pamoto Sana.
 
Kitambo niliwai pata safari ya mbali ilibid nifike kwa ndugu yetu niweke kituo siku kadhaa, ilikuwa sio poa huyo mama mwenye nyumba alikuwa na uvaaji wa kizungu kuanzia morning to everning kila muda ni kama yupo ufukweni hafungi mapaja akilala anajiachia unaona mashavu kiaina
 
Kikubwa ni umaskini Ila cha pili ni roho ya mtu. Kuna watu hata awe na kingi kiasi gani Ila asili ya uchoyo na ubinafsi havimuondoki

By the way kaka nilijua unakula ndizi tu kumbe hadi wali unao wa kutosha 😁😁
 
mkuu hii stori haijakamilika, malizia basi!!
 

Mtu unajisikia kulala huwez lala unaogopa
 
Duh! Kuna watu mna vipaji vya kuandika
 
Why mwalimu? Why nurse?
 
Dar watu wanaishi kwa bajeti finyu, wewe unataka ufungue mafriji na kuanza kula matunda au vyakula bila mpangilio, kwa hilo hata mimi sikusupport.

Halafu vyengine lazima ujiongeze mwenyewe, mfano sabuni, toothpaste na vile vidogo vidogo vya matumizi yako. Kumbuka hapo haupo wewe peke yako, umepewa pa kulala pengine ongezea maisha yaende mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…