Uliwahi kusikia story gani kuhusu Said Salim Awadh Bakhresa?

Ila huyu mtu amekuwa tajiri mkubwa tanzania, mo akasome. Biashara zake zinaanzia mia, aliwahi kutengeneza maandazi na chapati kama mama lishe wa mitaani ikabidi alalamikiwe kwa nini tajiri mkubwa naye atengeneze bidhaa hizo? Miaka ya tisini alivuma sana mitaa ya kariakoo kwa aisikrimu zake maarufu kama kwa balesa
 
Jamaa hustler kanzia chini toka kushona viatu mpaka kuwa tajiri mkubwa sio jambo dogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…