Uliwahi kusikia story gani kuhusu Said Salim Awadh Bakhresa?

Uliwahi kusikia story gani kuhusu Said Salim Awadh Bakhresa?

Ila huyu mtu amekuwa tajiri mkubwa tanzania, mo akasome. Biashara zake zinaanzia mia, aliwahi kutengeneza maandazi na chapati kama mama lishe wa mitaani ikabidi alalamikiwe kwa nini tajiri mkubwa naye atengeneze bidhaa hizo? Miaka ya tisini alivuma sana mitaa ya kariakoo kwa aisikrimu zake maarufu kama kwa balesa
Miaka ya 90!?..nimekula aiskrimu zake miaka ya 80 tabora!!
 
Story gani ya mtaani/kijiweni uliwahi kusikia kuhusu Said Salim Awadh Bakhresa? Tushirikishe
View attachment 2627849

Self made billionaire asiye na makuu kabisa, alafu Mzee Bahressa kavaa shati kama langu, nimenunua Kuala Lumpur, KL, Pavillion Mall

Very humble, hana show off, pure character ya bilionea wa kweli, ni tajiri mwenye tabia ya kitajiri, hatafuti hata siku moja cheap popularity or publicity kabisa, that is real billionaire, SSB..

MO Dewji sasa eeehh, is opposite, ndio bilionea mwenye tabia ya kimaskini sana, kama waimba taarab tabia yake, vidole, shingo, macho, uso juu juu tu yaani, muongoooo full time, yaani MO unamwangalia usoni unajua kabisa untrusted 100%, ajifunze kwa Mzee Bahressa.
 
Daaah jana tu kuna sehem tulikuwa tunagonga vyombo kuna mzee akasema huyu mzee alikuwa shoe shiner,sasa kuna mtu alikuja kusafisha viatu vyake alikuwa na madini ghafla askari wakatokea jamaa akakimbia na kumuachia madini[emoji3][emoji23] hayo madini yalikuwa na thamani kubwa sana!
 
Story gani ya mtaani/kijiweni uliwahi kusikia kuhusu Said Salim Awadh Bakhresa? Tushirikishe
View attachment 2627849
Aliwahi kufukuzwa benki Uswizi na mlinzi kwa kuwa alionekana kavaa kama mtu masikini, wakati ile benki ilikuwa ya mamilionea.

Baadaye meneja wa benki alivyokuja kugundua akaunti yake ina pesa kiasi gani, na huyu ni nani, ilibidi amuombe radhi sana.

Bakhressa hakuwa na kinyongo na yule mlinzi.
 
Back
Top Bottom