Uliwahi kusikia story gani kuhusu Said Salim Awadh Bakhresa?

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Story gani ya mtaani/kijiweni uliwahi kusikia kuhusu Said Salim Awadh Bakhresa? Tushirikishe
E844651A-A582-486C-A548-F4DCC5EB8F19.jpeg
 
Ila huyu mtu amekuwa tajiri mkubwa tanzania, mo akasome. Biashara zake zinaanzia mia, aliwahi kutengeneza maandazi na chapati kama mama lishe wa mitaani ikabidi alalamikiwe kwa nini tajiri mkubwa naye atengeneze bidhaa hizo? Miaka ya tisini alivuma sana mitaa ya kariakoo kwa aisikrimu zake maarufu kama kwa balesa
 
Jamaa hustler kanzia chini toka kushona viatu mpaka kuwa tajiri mkubwa sio jambo dogo.
 
Back
Top Bottom