Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Story gani ya mtaani/kijiweni uliwahi kusikia kuhusu Said Salim Awadh Bakhresa? Tushirikishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alianza kushona viatu[emoji23][emoji23][emoji23]
Baadae akapata tenda ya kushona viatu na kuuza ngozi serikaliniAlianza kushona viatu[emoji23][emoji23][emoji23]
Alianza kupika maandaziStory gani ya mtaani/kijiweni uliwahi kusikia kuhusu Said Salim Awadh Bakhresa? Tushirikishe
View attachment 2627849
Anaogopa kwenda kuhiji kwani atapotea huko kimazingaraStory gani ya mtaani/kijiweni uliwahi kusikia kuhusu Said Salim Awadh Bakhresa? Tushirikishe
View attachment 2627849
Jamaa hustler kanzia chini toka kushona viatu mpaka kuwa tajiri mkubwa sio jambo dogo.Ila huyu mtu amekuwa tajiri mkubwa tanzania, mo akasome. Biashara zake zinaanzia mia, aliwahi kutengeneza maandazi na chapati kama mama lishe wa mitaani ikabidi alalamikiwe kwa nini tajiri mkubwa naye atengeneze bidhaa hizo? Miaka ya tisini alivuma sana mitaa ya kariakoo kwa aisikrimu zake maarufu kama kwa balesa