Uliwahi kusikia story gani kuhusu Said Salim Awadh Bakhresa?

Umesahau maji ya pakti alikua anauza tsh.50/=
 
Hamtakaa kuujua ukweli.

Eti kushona Viatu, kuuza Maandazi.....!

Formula ya Utajiri ni 3 tu!
1. Deal chafu ambazo zipo nje ya mfumo wa Kibiashara.
2. Kwepo Kodi.
3. Kipaji, Music, Ngumi, Mpira etc.

Utatoboa!!
Nje ya hapo tutafute tu hela ya Kula.
1 na 2 naunga mkono lazima uwe na dili chafu nje ya biashara lasivyo ukwepe kodi kadri unavyoweza
 
Zilikua zinatwa lamba lamba.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nilianza kujua kipindi kile shughuli zake akifanyia karibu na soko la kariakoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…