Uliwahi kutamkiwa neno gani baya na Mwalimu wako?

-Baba yako kauza mbuzi ili aje asomeshe ng'ombe.

- Nakuhakikishia hutafika popote.

-Tumbo la mama yako lilibeba mzingo kwa miezi tisa.. Tukiwa stuff baada ya yule mwl kutoa kauli hii form 4 mwamba mmoja akafunga mlango wa stuff yule mwalimu tulimpa kichapo heavy wanafunzi 6 tukahamishwa shule na yule mwl alienda kulazwa KCMC mwezi 1..
 

Nakumbuka mwalimu wa biology alikuwa anatufundisha topic inayohusu masuala ya uzazi, Kwa bahati nzuri nikamakinika nayo tofauti na siku zingine ambapo mwalimu akiwa anafundisha Mimi nachora ama katuni au namchora mwalimu mwenyewe. Ticha alipotoa fursa ya kuuliza maswali Mimi ndiye niliyekuwa wa kwanza kurusha mkono juu Kwa mbwembwe mpaka yeye mwenyewe akashanga, aniniteua. Nikamuuliza kuwa mwamaume aliye rijali anatoa manii/shahawa nyingi kiasi gani, cha kushangaza akanijibu Kwa hasira akisena shenzi mukubwa mbona topic zilizopita hukuwa unazifuatilia, kapige punyeto upime manii zako kwanye chupa ya Kilimanjaro uje na majibu kesho. Nilitamani ardhi ipasuke lakini haikuwezeka, huyo mwalimu Sasa hivi ni mlevi na anapiga puli kisawasawa.
 
Ulimuuluza Swali gumu sana 😅😅😅
 
Nakumbuka kuna mwalimu tukiwa primary alikuwa akikasirika anatukana matusi na alipenda kusema " wewe utakuwa mshona cherehani tu na kwakuwa wote humu ndani mtakuwa mnashona basi hakutakuwa na wateja hivyo mtaishia kushona chupi za baba zenu na mama zenu"
Dah yule mwalimu amestaafu now ila bahati mbaya mpaka anastaafu alikuwa hana nyumba wala kiwanja, mafao yalipotoka akaishia kununua nyumba na hivi sasa anatia huruma sana maana amefulia balaa.
 
Kwanini nimenuna wakati nilikuwa natabasamu
 
Daaaa! Hapo alipowahusisha wazazi alifel sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…