Uliwahi kutamkiwa neno gani baya na Mwalimu wako?

Nimesoma Arusha shule ya sekondari Themi, kuna mwalimu anaitwa Mgonja, alikuwa ana tabia ya kuwaambia wavulana kuwa tunakuja asubuhi shuleni huku tunanuka nguvu πŸ˜‚ kipindi hicho nilikuwa sielewi alikuwa ana maana gani, kumbe bhana alikuwa ana maanisha ni ile wanaume kuja shule huku hawajaoga baada ya kuchafua mapaja kwa ndoto nyevu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ
 
Haki yaani. Hio siku nilibaki nimeshangaa tu. Wakati huo hata hio shadow sijui ni kitu gani 🀣
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…walimu wengine ukiwa mzuri kuwazidi watahakikisha wanakudunisha
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hivi Bado mnaota
 
Baadhi yenu mnanuka pumbuh baada ya kujikuna na kutoa vijigamba vya uroto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…