Uliwahi kuzingua kwenye mapishi, iwe ni mara ya kwanza unapika ama ukiwa mzoefu tayari?

Mkuu nimecheka hadi basi.
 
Mazingira ndo yanamtengeneza mpikaji,miaka ya nyuma maskani ilikuwa Kama usipopika huwezi kula hakuna wa kumpikia mtu Sasa usipike ufe njaa,kwa Hali hiyo lazima ujue kupika tu Hadi wanawake wanaona wivu...
 
Nakubaliana na hoja, mazingira yanachangia kwa % kubwa. Mimi darasa la nne as ME nilimpikia mamdogo ugali ukaiva, siku alipoondoka nyumbani alinipa 200 ya noti kama zawadi. Guess what!! Nilikua don shule for almost 2-3 weeks😅😅.
 
Inatokeaga tu bana,mie mwenyewe hadi leo tembele linanipiga chenga
Ila hapa tutumie kigezo cha kanda utakayo?!
If yes, mara nyingi msukuma umpe kisamvu aweke nazi nadhani utatamani majani yarudi kwenye mti and vise versa is true (joking)
 
Haha..!.
Hapo pa kutegua ili jungu limwagike ni idea nzuri, ninaweza itumia siku moja.. Ahsante sana.!;
 
kutoka rosti maini mpaka ugali dagaa..?? this world is not fair walaqhi'..!
 
Wooow,
Ni nzuri kama una uwezo huo, just keep it up..!
 
hakuna siku nilitaabika na kuteseka jikoni kama siku niliyojifunza kutengeneza vitumbua na bagia za dengu.

Unga wa vitumbua nilimwaga zaidi ya mara 4.
Haha.
Pole, ila baada ya hapo si umekuwa fundi..??
 
Mazingira ndo yanamtengeneza mpikaji,miaka ya nyuma maskani ilikuwa Kama usipopika huwezi kula hakuna wa kumpikia mtu Sasa usipike ufe njaa,kwa Hali hiyo lazima ujue kupika tu Hadi wanawake wanaona wivu...
Napenda aina hii ya maisha hakika..!
 
Haha..!.
Hapo pa kutegua ili jungu limwagike ni idea nzuri, ninaweza itumia siku moja.. Ahsante sana.!;
Kabisa,wakati mwingine akili huja kivingine ili ujinusuru na waja...maana waja wangepata pa kusemea.

Unalitegua, afu unajifanya huna habareeee....
 
Kipindi namaliza form four baba alininunulia simu (Nokia jeneza) basi bwana mtoto wa kike napika huku simu mkononi kila kitu na simu mkononi. Jioni naambiwa songa ugali nachukua unga nakoroga vile naanza kusonga nashangaa mbona ugali haukazi naongeza unga ugali haukazi kuja kushtuka ni unga wa ngano [emoji2][emoji2][emoji2] hapo watu wako mezani wanasubiri.
Alooooooo nilipiga rivasi sio ya nchi hii nikapika ugali fasta uliiva japo kwa kuchelewa.
Ule ugali wa ngano nilitupa baada ya kuhakisha watu wameenda kulala.
 
Kabisa,wakati mwingine akili huja kivingine ili ujinusuru na waja...maana waja wangepata pa kusemea.

Unalitegua, afu unajifanya huna habareeee....
Hahaha..!
Madame bhaaana..! Bora lawama kuliko fedheha siyo..??
 
Hahhahaa....!
Hii habari ya kupika na simu mkononi mie siitaki jamani, ishanikumba na majanga sana, lazima niunguze.! Nikiingia jikoni simu nakaa nayo mbali kabisa..!
 
mara ya kwanza Ghetto wana wamekuja kama wote sasa muda wa mapishi, nikajikuta najua, siku hiyo nitoe wali (hapo nisha-master kupika dongo) kumbe pishi la wali halitaki chumvi ikolee, mi nikaonja maji ya wali huku naongeza chumvi mpaka nikaisikia imekoza ile design ya mboga, na kwenye kipengele cha maji sikuyumba nikapiga full mpaka juu ( kwa mbwembwe nikapalia kabisa na moto kana kwamba fundi, kumbe nilikuwa naonaga tu sista anavyotoa kitu home)

kumbe kwenye mboga chumvi kukolea ni sawa ila kwenye wali ni disaster, msosi kuja kuiva ni bonge moja la boko afu una chumvi balaa, dah wana pamoja na njaa ile kila wakijaribu kula waap, chumvi nyingi sana ilibidi mmoja mmoja avunge ameshiba na mzigo ukabaki kwenye sinia

hahahah sitosahau hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…