Uliwezaje kuukubali ukweli kuwa sasa wewe ni mtu mzima? Bado sijui nimefikaje gorofa ya 30!

Wengine mnazeeka haraka hasa mkianza kuzikamata hamfanyi mazoezi, mnaoga maji yamoto, mnakunywa sana pombe na nyama, misosi yenye mafuta, n.k.

Nipo na 33 lakini nina muonekano wa 25, watu kibao nikiwaambia mi wa 1990 wanakataa.

Mcheki yule mchezaji wa Yanga, Skudu... ana miaka 35 ila anaonekana ni 24
 
Ongeza speed ya kuumaliza ujana ndugu.

Ukijifanya unaenda dusko dusko unashangaa uzee huu hapa na kuwa vulnurable kufia gesti kwa kisa cha vumbi la Congo
 
Napitapita naona comments za utambuzi,ila naona wengi hamjatambua pia kuwa ukubwa huja na nini,sio shikamoo au sio mvi au sio kuwa na nyumba nyingi ni sawa inaweza kuwa ni malengo yako,

Mimi namitazamo tofauti mimi naona utuzima ninmajukumu yani mzigo uliobeba kwako na kwa watu wanaokuzunguka ndugu, jamaa ,wanao, mke na majukum katika offisi yako kama wewe ni meneja au mkurugenzi mkuu na vile vyeo vya juu, utuzima ni majukumu uliyoyabeba wanasemaga mtu mzima jalala ...ukiona una majukumu mengi jitambue wewe ni mtu mzima hata kama una umri mdogo..unaweza ukawa una mali nyingi sana ila kama huwawezeshe watu wanaokuzunguka katika mambo ya msingi kama kuwezesha watu kusoma na mengine yote ili mfanikiwe kwa pamoja mvuke
 
Wengjne shikamoo tumeanza pokea tokea darasa la sita huko hadi leo, nilikuwa na mwili mkubwa/bonge mrefu, walikuwa wanajuaga mie ni mkubwa na nilikuwa naamkiwa hadi na watu walionizidi,

Nashukuru sasa lile li mwili limepukutika,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…