Uliwezaje kuukubali ukweli kuwa sasa wewe ni mtu mzima? Bado sijui nimefikaje gorofa ya 30!

Napata wakati mgumu kupokea shikamoo barabarani, kwakweli wataki niko teenager, sijui nilikuwa nachukuliaje nikisikia mtu anamiaka 25, 30 nk.

Napata mashaka kwamba hata miaka 40 na 50 itafika kiutani utani na nitaanza kuitwa mzee bila mimi kujua nimefikaje fikaje hapo!

Uliwezaje kukubaliana na ukweli?
Ndio hali ninayopambana nayo sasa hivi, kiukweli nashangaa sana ninapopata shikamoo kubwakubwa, Maana kuna shikamoo ambazo zinakupumbaza kidogo!!
 
Hii nayo inaumiza kichwa[emoji23][emoji23],
Kabla hujapata kazi unasema ukipata kazi utakua na furaha, ukishapata kazi unapata mawazo mapya mfano kujenga unaamini ukiwa na nyumba utakua na furaha, ukifanikiwa kujenga unaanza kukosa furaha na kupata mawazo mapya mfano kujiendeleza kielimu, kabla hujamaliza kusoma unaona umri hausimami na bado hujaoa wala huna mtoto unakosa tena furaha unaamini ukipata mke na mtoto utakua na furaha.

Kwa kifupi binadam kuridhika ni ngumu sana kila siku unahitaji uwe bora zaid ya jana na kuna muda unakosa usingizi kabisa.
 
Ni kweli kabisa, sema kila jambo na wakati wake.
 
Furaha ni kutimiza wajibu wako Kwa wakati husika
 
Ukijitosa na kuamua kujaribu kuwa mkata cheni ya umasikini nyumbani unakua na furaha ya siku chache baada ya kutimiza jukumu moja hazizidi siku 14 jukumu jipya linaamka ndani yako muda mrefu unatumia kuwaza.

Tangu nikiwa na miaka 19 nilianza kujiona nimeshakua mtu mzima ukiangalia nyuma hamna backup yoyote.
 
[emoji419][emoji419],
 
Wakati Nina kama miaka 20 hivi Kuna brother mmoja alikuwa na miaka 26 na alikuwa hajaoa basi nikawa namshangaa sana kwann jamaa age imesogea alafu hata mke Hana.???????

Lahaulla kumbe nlikuwa najiongopea Bure Mimi nilikuja kupitia hiyo miaka na nikawa hata wazo la kuoa Sina na maisha hayajakaa sawa.!

Nimekuja kubutua na miaka 30 ndio huyo kuchukua jiko

Uzee Huwa unakuja ghafla sana !

Usishangae kumuona mwanaume na miaka 40 anatongoza bint WA miaka 16 ukamuona WA ajabu ni kuwa hata yeye anahisi hiyo 40 Hana na bado anajiona kama yupo 25.

Uzee haukubaliki wanangu
 
Ukijitosa na kuamua kujaribu kuwa mkata cheni ya umasikini nyumbani unakua na furaha ya siku chache baada ya kutimiza jukumu moja hazizidi siku 14 jukumu jipya linaamka ndani yako muda mrefu unatumia kuwaza.

Tangu nikiwa na miaka 19 nilianza kujiona nimeshakua mtu mzima ukiangalia nyuma hamna backup yoyote.

Ndio natural ya universe ulivyo, hali iliyo ya Jana ni tofauti na Leo na Kesho ni tofauti na siku zilizopita,

Wewe kuwa na furaha + positive mindset, coz kila kitu Kiko controled on your mindset, nothing is mission impossible, hakuna kinacho shindikana ukitumia akili.
 
Back
Top Bottom