Uliwezaje kuukubali ukweli kuwa sasa wewe ni mtu mzima? Bado sijui nimefikaje gorofa ya 30!

Nina furaha nkiona watoto Wang wanapokuja kunipokea nkitoka kwenye mihangaiko

Love u so much guys I'm 36yrs

Aging starting from the mind
 
Salamu zimefika
 
Ni pale nilipo anza kuwa na mawazo ya kuoa niwe na mwanamke wangu ndani nipate watoto niwe na familia mwaka jana tu hiyo hapo nipo na miaka 23,

Na nikafanikisha na sasa mke wangu kaleta katoto kamoja familia hiyo imeanza [emoji3059][emoji3059][emoji3059]

Mimi sikuwa na kisingizio kama baadhi ya vijana wenzangu eti sijui sina kazi mara nipo home mimi nilioa hivyo hivyo mishe mishe hela ya kula isikosekane.
 
Mweeeh, nilikiwa nina ndoto ya kuzaa mapema sana yaani[emoji3]


Imeisha hiyooooo[emoji23]
 
mkuu nlipoanza kushtuka kua jua limeshazama kiupande wangu baada ya kumtongoza dada mmoja under 25 maana si kwa shikamoo zile ,,kwakweli nlikua na mawazo sana na ndipo nlianza kufanya mlinganisho wa kiumri na baadhi ya watu kwenye mitandao kwa kupitia google kimuonekano najiona bado chali ila kw upande wa waschana kila nnaejiarib kuanza nae urafiki naambulia shkamoo basi nashindwa kutongoza kabisa ila kwa sasa nmeshakubali hali yangu... natembea kijitu kizima ...najibu hoja kijitu kizima na vaa kijitu kizima
 
Nikifika 31 sijajenga sina gari najiua
dah dogo ata mm nlisemaga hivyo vivyo hapa nagonga 32 sina hata kitanda nalalia godoro la 60 tsh ,,tunaambiwa wanawke ni weng kuliko wahanaume ila mm nimeambulia kua pekee yang sasa sijui haliehisabu aliwahisab wanawake wa wapi kwakweli..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…