mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
Hapo kwenye makaburi umegusa penyewe,Kila nikihudhuria msiba huwa naangalia vile vibao vya makaburi halafu nalinganisha na umri wangu maana kuna wengi tu walifariki wakiwa chini ya miaka 18.. Swali kubwa huwa najiuliza je, mfano nikifariki kesho nitakuwa najutia nini zaidi ??..
Je, nimezitumia kwa kiwango gani potential na experience zote Mungu alizonipa ?..
Hapa lazma kichwa kiwake moto