Uliwezaje kuukubali ukweli kuwa sasa wewe ni mtu mzima? Bado sijui nimefikaje gorofa ya 30!

dah dogo ata mm nlisemaga hivyo vivyo hapa nagonga 32 sina hata kitanda nalalia godoro la 60 tsh ,,tunaambiwa wanawke ni weng kuliko wahanaume ila mm nimeambulia kua pekee yang sasa sijui haliehisabu aliwahisab wanawake wa wapi kwakweli..
Umenidhalilisha sana kuniita dogo
 
Mimi nachoka sana wahuni na bodaboda wanavoniadress kwa heshima
Aint that old sema majukum pia
 
Pamoja kamanda.
Yaani nilivyokuwa mdogo. Nilisema sitooa mpka niwe na permanent residence. Duh...mwaka fulani nikaambiwa nyumba hiyo hapo oa ukae namkeo hakuna atakaye kusumbua. Hapo mawazo hayawazi tena nyumba nawaza kazi na kipato. Kuja kustuka nikawa nimetimiza miaka kama ya Yesu duniani. Kuhangaika maporini huko unashindwa kuseto na kufanya maamuzi sahihi huku shikamoo zinaongezeka. Tena kwa vijijini ndo kabisaa unakuta mtu mnalingana lakin yeye anakuamkia tuu wangejua wanaongeza stress vibaya mno.
 
Mwakani nashukia ghorofa ya 30 , sina hili wala lile wala linaloeleweka na nipo moshi mjini hata sielewi yaaaaani , najaribu mishe za udalali hata hazieleweki yaaaaanj dah
 
Hii Hali inanikita mm,kunasiku nimemkuta dada Mmoja akanipa shikamoo,nikalud tena shikamoo

Nikamuuliza wewe dada unajua mm na miaka mingap?akajibu sijui,

Nikamuuliza umezaliwa mwaka gani,akataja,kumbe kanizid mwaka mmoja

Nikasema hii mionekano ya njee hii inatukuza sana
 
Nilipo anza kuwaza hivi haya mahusiano yatanitesa hadi lini[emoji16][emoji16][emoji16] nikaendelea kuwaza si bora nioe kwanza mke anafaida nyingi ukiachilia kumtia kila mara[emoji39] atafua , ataweka mazingira safi , atapika tutakula n.k halafu hapo nisha misi kupata mtoto familia ianze nikakamilisha.
 
hakika umri unapita haraka sana, waweza hata usijue nini kimetokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…