dindilichuma
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,736
- 2,699
- Thread starter
- #161
Ndio anaruhusiwa kuombaMwanafunzi wa OUT anaruhusiwa kuomba mkopo kwenye bord ya mikopo ya Elimu ya juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio anaruhusiwa kuombaMwanafunzi wa OUT anaruhusiwa kuomba mkopo kwenye bord ya mikopo ya Elimu ya juu
Kwani serikali imeruhusu foundation siku hizo maana Dogo wangu anaitamani degree kinoma nomapiga foundation miez 6 utaruhusiwa soma degree chuo chchte kile
Mtu ambaye ni medical doctor by proffesion anaweza akajoin ur university kuchukua MBA?Udahili umeanza, Chuo Kikuu Huria Tanzania na vyuo vingine hapa nchini.
Tuna chuo kimoja hapa nchini na Afrika Mashariki kwa ujumla kinachotoa elimu wazi na Masafa(Open and distance learning)
Serikali ilianzisha chuo hiki kwa sheria ya bunge namba 17 ya mwaka 1992. Hii ilikua kuwapa fursa wafanyakazi na watu wenye majukumu yanayowafanya washindwe kwenda conventional university, hivyo kujikuta mahitaji yao ya kujiendeleza kielimu yakishindwa kufikiwa.
Kwa mwaka huu wa masomo udahili utakua ni bure.
Ingia tovuti ya chuo www.out.ac.tz na ufanye online application. Unahitaji kuwa na soft copy ya vyeti na picha(passport size moja).
Kwa tuliosoma na kufanikiwa tujitahidi wenzetu pia ambao wanauhitaji, kuwatangazia waweze kuitumia fursa hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari mkuu, naomba kuuliza ada ya foundation programe inalipwa yote kwa mkupuo?
Ndio mkuu, wewe unasoma?
Yes anawezaMtu ambaye ni medical doctor by proffesion anaweza akajoin ur university kuchukua MBA?
Ada ya foundation jumla ni 630,000Habari mkuu, naomba kuuliza ada ya foundation programe inalipwa yote kwa mkupuo?
Ndio inatolewa na chuo Kikuu Huria pekeeKwani serikali imeruhusu foundation siku hizo maana Dogo wangu anaitamani degree kinoma noma
Inawezekana kabisa, elimu inatolewa kwa ngazi zote Astashahada mpaka shahada ya uzamivu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani serikali imeruhusu foundation siku hizo maana Dogo wangu anaitamani degree kinoma noma
Habari mkuu, naomba kuuliza ada ya foundation programe inalipwa yote kwa mkupuo?
Mimi nauliza out kuna kozi za kilimo? Kwa level ya bachelor?Habari kuna mwanafunzi waa open humu anayechukua ile bachelor ya nutrition and dietetics anipe mauzoefu, i admire it ?
Shukrani ngoja nimwambie aende akaongeze elimu ,hivi wanatoa pale degree ya uhasibu?yap its ok kusoma ni miez 6 tu
Pitia website hii www.out.ac.tz utaipata.