Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Natafuta hekima
 
Hapa bado ni hatua za awali, nna maswali elfu na kidogo kama ni tapeli nitamjua tu.

Ila jinsi alivyo respond kuhusu PASCHAL CASSIAN ndiyo imenifanya nihisi ana kitu huyu brother
Hamna kitu hapo. Uzi wake aliukimbia baada ya kutaka kudanganya akidhani hatujui.
 
Ndugu yangu hapa tumekuja kujadili Wala si kuunganisha watu. Ni mdahalo kuhusu FREEMASONRY.
Sasa unataka uwaongoze ktk mjadala kwa jambo ambalo hulifahamu vizuri na unataka uulizwe maswali? Acha hizo. Weka kuwa kila mtu atoe experience yake.
 
Mshiko wote mnaosema mnao, mnashindwa kupaka Rangi upya jengo? [emoji23]
 
Dogo acha kamba sema hilo jengo lipo moshi sehemu gani nipo hapa rau chap nije
 
Dogo acha kamba sema hilo jengo lipo moshi sehemu gani nipo hapa rau chap nije
Utakuwa wa ajabu sana kama hata hilo jengo ulijui lipo wapi na unaka Rau.. kwakukusaidia hilo jengo lipo hapo karibu na kwenye circle ya moshi arusha, au wenyeji wanasema keepleft ya moshi arusha,
 
Hii inatusaidia nini au kutafuta kiki?
 
Kwahiyo unataka useme kuna watu walishamuona shetani live yule kabisa aliyeshushwa toka mbinguni??
 
id nyingne wapi, mimi nashangaa pale mtu anapokuja kupinga kama vile msemaji ni mdogo wake (anamjua)

Kwahyo wewe huamini kama mambo haya yapo? Unataka ayaseme nani labda?!
Hajui lolote.
Over
 
Kwani wamekuomba au nawe ndo wale wale?
Tatizo la watanzania wanadharau kusoma kuongeza maarifa, ni wavivu kusoma, tokea kale mpaka Sasa ushahidi na kumbukizi nyingi zipo kwa maandishi. Lazima usome ujue kupanue wigo wa akili yako.
 
Coomer on huyo si yule nanii yule wanamuita asake sijui wanamuita quavo siwaelewi elewi mara asake mara quavo sijui wanamaanisha nini kumzuishia zushia hizi tuhuma ?
Hapana diamond platnumz Hana huo ushirikina. Yeye ni mtu Safi, ni team ya wasafi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…