Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

hakuna source za uhakika kwa vitu kama hivi, hizo tovuti mtu yeyote anaweza kutengeneza
Hapana ngoja nikueleweshe jambo la muhimu,

Kuna baadhi ya vitu unaweza kueleza ukiwa Master Mason, lakini ukiingia ndani zaidi Kuna Siri nyingi sana unapewa na kufahamu hivyo sio rahisi kusema.

Freemason wanakuambia Kuna degree 3, entered apprentice, fellow craft, na Master Mason. Ukiwa katika hizi ngazi au degree Basi unaweza kuongea chochote kuhusu freemason lakini ukiwa Master Mason Basi ukapewa cheo Cha juu yake, huwezi kuropoka au kutoa Siri na hata kumuunganisha mtu hutakiwi.
 
😂😂 Halafu mbaya zaidi wanasema "tunatibu Freemason"
Hao no matapeli, freemason kamwe huwezi kuunganishwa kwa mitandao au namba za simu barabarani. Unaenda kwenye lodge yao pale posta kwa dar es salaam.
 
Yule Paschal labda alikuwa kwenye secret society nyingine ila hata mimi kwa nilivyowasoma hao illuminants na freemasonry sioni kama alikuwa huko nope.
Freemason sio ya kila mtu, Ina watu wake.
 
hizi tovuti na vitabu vinavyoelezea kwa undani zaidi vimeandikwa na kina nani, na kwa lengo gani?
 
HAKUNA MASWALI KILA KITU KINAFAHAMIKA KIPO KWENYE VITABU, VIDEOS NA AUDIO. HAKUNA SIRI. KUNA KIPINDI NLIWAHI WAPIGA SANA WATU PESA. NAMI NILIJIDAI NI FREEMASON NIKAWAAMBIA NIWAPE ELIMU WALETE NA MASWALI. NLIWALA SANA.
🤣🤣
 
Hapa tuna jadili Wala sio mabishano.
Kwa maelezo ya kichwa cha habari hatujadiliani na wewe! Umekuja kama mtatuzi wa maswali tata yanayo ulizwa bila majibu kuhusu mada husika. Niwajibu wako kutoa majibu ya mwaswali unayo ulizwa! hakuna mjadala, hapa ni maswali na majibu.
 
Mkuu na wewe ni mwana chama? Lakini pia mbona umepiga picha ki uwoga?
 
Ko kuna watu wanamuona shetani live yule anaesemekana alishushwa toka mbinguni
Shetani ni malaika muasi ambaye alikuwa malaika wa sifa na malaika mkuu mwenye mamlaka katika malaika wote,
Lakini katika mipango ya Mungu Mwenyezi alipenda kumshirikisha Yesu Kristo, wivu ukamwingia shetani alikuwa anaitwa Lucifer, kwamba kwanini Yesu Kristo tu na Mimi sichaguliwi ungali ni malaika mkuu. Dhambi ya wivu kiburi na majivuno uongo ulianza kwa shetani.

Kuna watu wanamuona shetani lakini kwa sura wa viumbe tofauti Sana, shetani anapotaka kuja kwako Basi anakuja kwa sura ya ajabu Sana sura ambayo hukuwahi kuona tangu uzaliwe na hata kwenye movie za kutisha hakuna mfano wake,

Shetani huwa anakuja duniani kila siku ya jumatatu, anaendesha gari Aina ya Mercedes Benz nyeusi, anavaa suti nyeusi, soksi nyeusi, na kiatu cheusi. Anapendelea zaidi kwenye klabu na kumbi za starehe, pengine hata dada zetu hulala nao na kuwaharibu kizazi, kufunga uzazi wao ama kutesa watoto watakao zaliwa.
 
Mkuu na wewe ni mwana chama? Lakini pia mbona umepiga picha ki uwoga?
Hii picha nimeitoa mtandaoni, nimeweka hapa ili kupeana maarifa.

Hakuna mwanachama yeyote yule wa chama Cha freemason ambao anatakiwa kupiga picha. Katika Sheria ya United grand Lodge of England, east africa district. Hizo picha huko mtandaoni huwa zinapigwa na waandishi wa habari.
 
Mmmhmhhh' inanipa ukakasi sana kuamini hizi mambo
 
Ndugu yangu hakuna unachojua chochote hata dini haufahamu. Hizo ni tetesi za uongo. Biblia unayo isoma Leo wewe imefupishwa Mambo mengi Kuna biblia enye Ina kila kitu hujawahi kufahamu ama kuona endelea kupata maarifa. Usiwe na ubishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…