Roca fella
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 2,077
- 4,152
- Thread starter
-
- #481
Sisi sio wa kwanza kuwa adui, tangu enzi na enzi mwanadamu alishaweka uadui,Mzee ila moto unauma ujue... imagine unaamua kuwa adui wa Mungu wazi wazi namna hiyo... aisee.
Wewe ushauza roho...! Na nasikia mnapewa bahasha zenye majukumu tena nyeusi. Ukipewa unalia kabisa kwa sababu unajua unachokwenda kufanya.Sisi sio wa kwanza kuwa adui, tangu enzi na enzi mwanadamu alishaweka uadui,
Katika viumbe Mungu Mwenyezi aliwaheshimu na kuwapenda ni mwadamu akampa mamlaka akatawale dunia,
Hata malaika huwa anapaswa kumsujudia mwanadamu, ila hii ni Vita ya kiroho. Tena Vita Kali Sana pengine sisi hatujapewa macho ya rohoni huu ulimwengu una maajabu Sana.
Wewe umeshauza roho... means ukiwa hata na wazo tu wao wanajua[emoji23] unachomokaje sasa hapo[emoji38]
😄😄 Stori za mtaani zinafurahisha, hakuna bahasha nyeusi, kila jambo linakwenda kwa Siri ndani ya mjengo.Wewe ushauza roho...! Na nasikia mnapewa bahasha zenye majukumu tena nyeusi. Ukipewa unalia kabisa kwa sababu unajua unachokwenda kufanya.
Kuna jambo moja mwanadamu haelewi hebu ngoja nikupe mwanga halisi.Wewe ushauza roho...! Na nasikia mnapewa bahasha zenye majukumu tena nyeusi. Ukipewa unalia kabisa kwa sababu unajua unachokwenda kufanya.
Kwanini Eva au hawwa alishawishiwa na nyoka akala tunda, si shetani alikuja physical,
Hata akiwa mbali anaweza kushawishi utende dhambi,
Shetani anakuja kwa nafsi kukushawishi utende dhambi Tena anakubembeleza kabisa
Jpm nae hakua mmoja wao!!?Ndiyo bila shaka nafsi nimemkabidhi mkuu wa giza.
Kuna fumbo baadae nitakufunulia upate mwanga ukinielewa Basi utaungana na Mimi.
Msoga anamaanisha kikwete!!!hapana Wala hatumtambui msoga ndani ya chama chetu.
Kama una hisi unaitaji kurudi kwa Mungu,niambie kuna sehemu na namna ya kutubu,kabla hujawahiwa nikuelekeze,ila kumbuka vyote atasamehewa binadamu ila c kumkufuru roho,vyote fanya usikufuru laana unaonekana una hofu ya Mungu badobinadamu akiwa duniani bado anayo neema ya kutubu endapo umedhamiria, no matter what nini kitatokea huko mbeleni ili mradi uwe serious kurudi kwa MUNGU MWENYEZI maana yeye ametuumba hakuna anacho shindwa kwetu.
Una onekana una hofu ya Mungu,bado Mungu akusaidie utoke ni heri Kukosa Vyote ila si mbingu,ni heri pia kuingia Mbinguni ukiwa chongo,Aliyeandika maneno haya ni Mungu ,uiuze nafasi yako kwa miaka 30 uungue mileleKabla hujajiunga uliza akili nafsi na roho yako kwanini unataka kujiunga na freemason,
Amri ya kwanza ya Mungu Mwenyezi, inasema USIWE NA MUNGU MWINGINE ILA MIMI MAANA MIMI NI MUNGU MWENYE WIVU. USIABUDU SANAMU WALA KUCHONGA CHOCHOTE UKAABUDU.
Hapa Mungu Mwenyezi alituepusha na shaytan. ( Shetani )
huwezi kupata majibu juu ya freemason kwasababu ni secret society na wafuasi huwa wanakula kiapo cha kuto kureveal any of their secrets.Watanzania wengi wamekuwa wakipata taabu kuifahamu FREEMASONRY Sasa utaenda kuifahamu kwa undani ikiwa utaleta maswali yenye tija, msingi, uhalisia hivyo utapata majibu kwa usahihi kabisa.
View attachment 2652303
Huu ni ukumbi wa FREEMASONRY, unapatikana jijini moshi, Kilimanjaro. Jengo hili lilizinduliwa mnamo 2005, Machi 26. Na kupewa namba 9794. Sir jayantilal keshavij chande ndiye mzinduzi na mwenyekiti wa jumuiya ya FREEMASONRY afrika ya mashariki.
Karibuni kwa maswali, hoja na mjadala ndugu watanzania.
Ahsante kwa kushiriki ndugu msomaji, sio lazima kuamini na ni vigumu kuamini.huwezi kupata majibu juu ya freemason kwasababu ni secret society na wafuasi huwa wanakula kiapo cha kuto kureveal any of their secrets.
unachokaribisha kwenye mjadala wako ni uongo ambao tumeuona na tunaendelea kuuona kwenye mabango ya matapeli.
huu uzi ni batili.
Ahsante kwa ushauri wako japo hausaidii kwa sababu ni maisha nimeyachagua.U
Una onekana una hofu ya Mungu,bado Mungu akusaidie utoke ni heri Kukosa Vyote ila si mbingu,ni heri pia kuingia Mbinguni ukiwa chongo,Aliyeandika maneno haya ni Mungu ,uiuze nafasi yako kwa miaka 30 uungue milele
Shetani muda wowote ana deal na binadamu, Tena anafanya kazi kwa spidi kubwa Sana,sawa nitakua sitendi dhambi tena jumatatu
huwezi kupata majibu juu ya freemason kwasababu ni secret society na wafuasi huwa wanakula kiapo cha kuto kureveal any of their secrets.
unachokaribisha kwenye mjadala wako ni uongo ambao tumeuona na tunaendelea kuuona kwenye mabango ya matapeli.
huu uzi ni batili.
2be ONE ask 1... Maana yake ni nini? na ni nani huwa na vitu vyenye maandishi haya?
Huonekana wapi watu hao? wajibu wao ni nini? nikiwahitaji nawapata wapi?
Kwa hiyo hiyo J3 anapokuja na benz yake, kuna watu huwa wanaongea naye pasipo kujua na anawalipia bills huko club na kwenye kumbi za starehe anakokwenda?Shetani muda wowote ana deal na binadamu, Tena anafanya kazi kwa spidi kubwa Sana,
Epusha kutenda dhambi siku zote sio jumatatu tu.