Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Mzee ila moto unauma ujue... imagine unaamua kuwa adui wa Mungu wazi wazi namna hiyo... aisee.
Sisi sio wa kwanza kuwa adui, tangu enzi na enzi mwanadamu alishaweka uadui,

Katika viumbe Mungu Mwenyezi aliwaheshimu na kuwapenda ni mwadamu akampa mamlaka akatawale dunia,

Hata malaika huwa anapaswa kumsujudia mwanadamu, ila hii ni Vita ya kiroho. Tena Vita Kali Sana pengine sisi hatujapewa macho ya rohoni huu ulimwengu una maajabu Sana.
 
Wewe ushauza roho...! Na nasikia mnapewa bahasha zenye majukumu tena nyeusi. Ukipewa unalia kabisa kwa sababu unajua unachokwenda kufanya.
 
Hata ninavyo andika hapa wanajua, ila sitoi Siri naandika yaliyo wekwa wazi kila sehemu ulimwenguni.

Kutoa huwezi sababu umeshauza nafsi hakuna namna na utambue sio watu wote watakwenda peponi wengine hakuna budi kwenda motoni.
Wewe umeshauza roho... means ukiwa hata na wazo tu wao wanajua[emoji23] unachomokaje sasa hapo[emoji38]
 
Wewe ushauza roho...! Na nasikia mnapewa bahasha zenye majukumu tena nyeusi. Ukipewa unalia kabisa kwa sababu unajua unachokwenda kufanya.
😄😄 Stori za mtaani zinafurahisha, hakuna bahasha nyeusi, kila jambo linakwenda kwa Siri ndani ya mjengo.

Hakuna kilio Bali no shangwe kwa sababu unapokea pesa nyingi zetu utajiri ulimwenguni.
 
Wewe ushauza roho...! Na nasikia mnapewa bahasha zenye majukumu tena nyeusi. Ukipewa unalia kabisa kwa sababu unajua unachokwenda kufanya.
Kuna jambo moja mwanadamu haelewi hebu ngoja nikupe mwanga halisi.

ikiwa hufahamu baada ya kifo kuna maisha gani unakwenda kuishi, either peponi au motoni, huna uhakika Basi inakupasa uishi vyema duniani kwa utajiri na Mali ufaidi ulimwengu, ili ukifa ndo ujue wapi utakwenda ikiwa motoni Basi huna hasara ikiwa mbinguni Basi una faida mara 100,

Hivi unaonaje unajinyima na kujibana duniani kupata dhiki na taabu ingawaje humwabudu Mungu ipasavyo na utegemee kwenda mbinguni this is big no,

Hata maandiko yanasema Mungu hataki watu vugu vugu ukiamua kumcha Mungu Basi iwe kweli ukiamua kumcha shaytan Basi ufanye kweli.

Usijidanganye unaenda masjid au kanisani halafu unazini na Moto ukaenda ingawaje umeishi maisha ya fukara duniani so kheri uamue moja uloge uue ufanye zinaa au upate Mali haramu ila uishi vizuri duniani bila kujali utaenda wapi baada ya umauti.
 
wajenzi huru hawana shida

tatizo wengi.wanachanganywa na waganga Wa kienyeji.na mabango.ya.matangazo
 
Kwanini Eva au hawwa alishawishiwa na nyoka akala tunda, si shetani alikuja physical,

Hata akiwa mbali anaweza kushawishi utende dhambi,

Shetani anakuja kwa nafsi kukushawishi utende dhambi Tena anakubembeleza kabisa

sawa nitakua sitendi dhambi tena jumatatu
 
binadamu akiwa duniani bado anayo neema ya kutubu endapo umedhamiria, no matter what nini kitatokea huko mbeleni ili mradi uwe serious kurudi kwa MUNGU MWENYEZI maana yeye ametuumba hakuna anacho shindwa kwetu.
Kama una hisi unaitaji kurudi kwa Mungu,niambie kuna sehemu na namna ya kutubu,kabla hujawahiwa nikuelekeze,ila kumbuka vyote atasamehewa binadamu ila c kumkufuru roho,vyote fanya usikufuru laana unaonekana una hofu ya Mungu bado
 
U
Kabla hujajiunga uliza akili nafsi na roho yako kwanini unataka kujiunga na freemason,

Amri ya kwanza ya Mungu Mwenyezi, inasema USIWE NA MUNGU MWINGINE ILA MIMI MAANA MIMI NI MUNGU MWENYE WIVU. USIABUDU SANAMU WALA KUCHONGA CHOCHOTE UKAABUDU.

Hapa Mungu Mwenyezi alituepusha na shaytan. ( Shetani )
Una onekana una hofu ya Mungu,bado Mungu akusaidie utoke ni heri Kukosa Vyote ila si mbingu,ni heri pia kuingia Mbinguni ukiwa chongo,Aliyeandika maneno haya ni Mungu ,uiuze nafasi yako kwa miaka 30 uungue milele
 
Watanzania wengi wamekuwa wakipata taabu kuifahamu FREEMASONRY Sasa utaenda kuifahamu kwa undani ikiwa utaleta maswali yenye tija, msingi, uhalisia hivyo utapata majibu kwa usahihi kabisa.

View attachment 2652303
Huu ni ukumbi wa FREEMASONRY, unapatikana jijini moshi, Kilimanjaro. Jengo hili lilizinduliwa mnamo 2005, Machi 26. Na kupewa namba 9794. Sir jayantilal keshavij chande ndiye mzinduzi na mwenyekiti wa jumuiya ya FREEMASONRY afrika ya mashariki.

Karibuni kwa maswali, hoja na mjadala ndugu watanzania.
huwezi kupata majibu juu ya freemason kwasababu ni secret society na wafuasi huwa wanakula kiapo cha kuto kureveal any of their secrets.

unachokaribisha kwenye mjadala wako ni uongo ambao tumeuona na tunaendelea kuuona kwenye mabango ya matapeli.

huu uzi ni batili.
 
Ahsante kwa kushiriki ndugu msomaji, sio lazima kuamini na ni vigumu kuamini.
 
U

Una onekana una hofu ya Mungu,bado Mungu akusaidie utoke ni heri Kukosa Vyote ila si mbingu,ni heri pia kuingia Mbinguni ukiwa chongo,Aliyeandika maneno haya ni Mungu ,uiuze nafasi yako kwa miaka 30 uungue milele
Ahsante kwa ushauri wako japo hausaidii kwa sababu ni maisha nimeyachagua.
 
huwezi kupata majibu juu ya freemason kwasababu ni secret society na wafuasi huwa wanakula kiapo cha kuto kureveal any of their secrets.

unachokaribisha kwenye mjadala wako ni uongo ambao tumeuona na tunaendelea kuuona kwenye mabango ya matapeli.

huu uzi ni batili.

Naunga mkono hoja mkuu,hakuna Freemasons hapa[emoji23][emoji23]
 
Shetani muda wowote ana deal na binadamu, Tena anafanya kazi kwa spidi kubwa Sana,

Epusha kutenda dhambi siku zote sio jumatatu tu.
Kwa hiyo hiyo J3 anapokuja na benz yake, kuna watu huwa wanaongea naye pasipo kujua na anawalipia bills huko club na kwenye kumbi za starehe anakokwenda?
 
Back
Top Bottom