Roca fella
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 2,077
- 4,152
- Thread starter
- #481
Sisi sio wa kwanza kuwa adui, tangu enzi na enzi mwanadamu alishaweka uadui,Mzee ila moto unauma ujue... imagine unaamua kuwa adui wa Mungu wazi wazi namna hiyo... aisee.
Katika viumbe Mungu Mwenyezi aliwaheshimu na kuwapenda ni mwadamu akampa mamlaka akatawale dunia,
Hata malaika huwa anapaswa kumsujudia mwanadamu, ila hii ni Vita ya kiroho. Tena Vita Kali Sana pengine sisi hatujapewa macho ya rohoni huu ulimwengu una maajabu Sana.