Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Ndugu yangu punguza jazba.
Ni marufuku kushawishi mtu kuingia kule, Bali mtu mwenyewe kwa nafsi yake huridhia kuingia kule.

Kujiunga na FREEMASONRY unatakiwa kwenda kwenye lodge karibu yako mwenyewe kwa hiari ukaombe nafasi ya kuwa mwanachama.
 
Mbona sijaelewa hapa lodge yoyote?
FREEMASONRY wanaita BLUE LODGE.

Mkuu nenda posta mkabala na Kilimanjaro hotel au benki kuu, utaona jengo limeandikwa FREEMASON HALL. ingia humo ndani kaonane na viongozi.

Ushauri.
Itapendeza ukivaa suti nyeusi an viatu vyeusi, uwe na briefcase.

Au vaa shati jeusi suruali nyeusi soksi nyeusi na viatu vyeusi.
 
Huyo jamaa ni noma sana na mama yake mzazi... musician??
 
Ngoja nijipange kwa hilo, kama ikikupendeza naomba uniambie faida ya kujiunga huko maana wengine tukisia neno freemason kichwa kinawaza pesa kutokana na story za mtaani juu ya hiyo taasisi ,unipe fursa zilizoko hiko
 

Wewe kweli haujui kitu kuhusu Freemasons

Ndio maana ; kuna mtu amekoment hapo kuwa; amehoji

Kwanini? Umepiga picha nje ya jengo wazi kuwa hauna unachofahamu na ungekuwa unaelewa chochote ungeingia ndani na upige picha pamoja na video
 
Ngoja nijipange kwa hilo, kama ikikupendeza naomba uniambie faida ya kujiunga huko maana wengine tukisia neno freemason kichwa kinawaza pesa kutokana na story za mtaani juu ya hiyo taasisi ,unipe fursa zilizoko hiko
Kobo G karibu Sana ndugu yangu katika ulimwengu mpya wenye mwangaza asilia,

Saa za kazi ni saa 3 asubuhi mpaka saa 11 jioni.

Faida ni kubwa Sana kwanza utakutana na watu tofauti na kujitunza Mambo mengi ya kiuchumi, kijamii, kuwa mzalendo na mwenye haki na huruma hata kusaidia jamii katika mchango mbali mbali mfano kulipia bili za mgonjwa hospitali, kuhudumia watoto yatima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…