mifumo ya afya inahitaji sana uwepo wa management iliyo na managerial skills na knowledge ya kutosha, tofauti na halmashauri na mikoa, mahospital makubwa yanawahitaji watu hawakama hakuna kuajiliwa direct hii course si ya kusoma maana ajira yake ni ukatibu afya tu (nisahihishwe kama nimekosea) huwezi omba sekta nyingine tofauti na lgm, p.a
1 BSc Economics - Economic Policy and Planning (EPP)Mwenye mchepuo wa EGM (Div 1 ya pt 9) anaweza kusoma kozi gani zikizopo hapo chuoni??? Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ahsante kwa uzi mzr nina HGL div two ya 10 nije hapo course ipi ambyo nitapata mm napnda health mangmnt ila nahofia competitionWakuu habarini zenu, sitaki kuwachosha na salamu nyingi naenda moja kwa moja kwenye topic yetu.
Kama una swali lolote kuhusu chuo kikuu cha mzumbe uliza kwenye huu Uzi na wahenga wa Mzumbe tutakujibu, wahenga mojawapo ni Mimi cendy, Daby, the bold na wengine
Kiufupi mzumbe main campus iko Morogoro takribani kilometers 23 kutoka Morogoro mjini ipo wilaya ya Mvomero.
Mzumbe ina schools mbili, Institute moja na faculties ikiwemo faculty of law, fss, fst
Mzumbe ina course nzuri sana inayoitwa bachelor of science in health system and management ambayo ndio course inayochukua watu wa art na mkopo ni compulsory.
Kwa taarifa zaidi ingia www.mzumbeuniversity.ac.tz
kuna wahitimu wengi wako mtaani tangu 2012 mkuu, ni vyema mtu akajishauri mara 2 kusoma hii course.mifumo ya afya inahitaji sana uwepo wa management iliyo na managerial skills na knowledge ya kutosha, tofauti na halmashauri na mikoa, mahospital makubwa yanawahitaji watu hawa
Dogo langu kamaliza HKL ana two ya points 11 vipi hapo mzumbe anaweza kusoma kozi gani marketable mkuuWakuu habarini zenu, sitaki kuwachosha na salamu nyingi naenda moja kwa moja kwenye topic yetu.
Kama una swali lolote kuhusu chuo kikuu cha mzumbe uliza kwenye huu Uzi na wahenga wa Mzumbe tutakujibu, wahenga mojawapo ni Mimi cendy, Daby, the bold na wengine
Kiufupi mzumbe main campus iko Morogoro takribani kilometers 23 kutoka Morogoro mjini ipo wilaya ya Mvomero.
Mzumbe ina schools mbili, Institute moja na faculties ikiwemo faculty of law, fss, fst
Mzumbe ina course nzuri sana inayoitwa bachelor of science in health system and management ambayo ndio course inayochukua watu wa art na mkopo ni compulsory.
Kwa taarifa zaidi ingia www.mzumbeuniversity.ac.tz
NaaamKuna mtu amepata 2 ya 10 yan eng C, kisw C, history D anaweza kupata degree ya law apo mzumbe?
Na kwa mtu wa diploma ya uhasibu GPA ya 4.8 anaweza kupata BAF apo????
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, Nina two 12 hgl advanced olevel c ya biology naeza omba iyo koziWakuu habarini zenu, sitaki kuwachosha na salamu nyingi naenda moja kwa moja kwenye topic yetu.
Kama una swali lolote kuhusu chuo kikuu cha mzumbe uliza kwenye huu Uzi na wahenga wa Mzumbe tutakujibu, wahenga mojawapo ni Mimi cendy, Daby, the bold na wengine
Kiufupi mzumbe main campus iko Morogoro takribani kilometers 23 kutoka Morogoro mjini ipo wilaya ya Mvomero.
Mzumbe ina schools mbili, Institute moja na faculties ikiwemo faculty of law, fss, fst
Mzumbe ina course nzuri sana inayoitwa bachelor of science in health system and management ambayo ndio course inayochukua watu wa art na mkopo ni compulsory.
Kwa taarifa zaidi ingia www.mzumbeuniversity.ac.tz
Unaweza mkuu lakini kwanini usisome pharmacy au kitu kingine
the great
Ni 30elfu atachukuliwa apply tu ingia www.mzumbe.ac.tzapplications za mzumbe tunafanyaje? tsh ngapi? dogo ana point 9, hgl anataka kuaaply course ya Public health mgt systems(sijui kama inaitwa ivo)
Mkuu unafanya kazi kwenye NGOs MSD NMR na idara zote zinazihusiana na maswala ya afyakama hakuna kuajiliwa direct hii course si ya kusoma maana ajira yake ni ukatibu afya tu (nisahihishwe kama nimekosea) huwezi omba sekta nyingine tofauti na lgm, p.a
Mbona me cjibiwi mkuuOmba course yoyote mzumbe ukifika unahamia tu mkuu
the great