umepita miaka ya karibuni... KIU na pachi zilikuwa suna kipindi hichoMkuu mbona nimepita[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
the great
We kijana HKL unapata dv three.mzumbe usiende utadiscoNina division three 13 ya HKL....KISW D HIST D na LANG E naweza kusomea nn hapo mzumbe university
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmhhhhh!!!!Tundu Lissu pia ni product ya MU
ujinga wa hii course sasa hawaajiliwi direct, zamani walikuwa wakihitimu wanachukuliwa moja kwa moja
sasa ajira ni za kuomba, alafu shida ni hosp. tu sijajua kama unaweza ajiliwa sehemu nyingine
HSM anasoma vyote hivyo,nenda kapitie course content zao.tz yote yanawezekana ila kwa hsm kuwa hr wakati hasomi mambo ya msingi kwenye hr kama apprasal process, recruitment and selection, performance mgt, org. behaviour nk
natengua kauli mnisamehe kwa kupotosha ummaMmhhhhh!!!!
Una uhakika?
Aaahhhh ndio nini mkuu
the great
Mwongo! Kati ya vyuo vikuu vya serikali Mzumbe ndo pepesi sana! Watu huwa wanaliwa vichwa UDSM na SUA halafu wakienda mzumbe wanapeta kwa kozi hiyo hiyo!We kijana HKL unapata dv three.mzumbe usiende utadisco
EPP AU PPM NA BAF ZITAKUFAA HIYO BEEM NI EDUCATION IN ECONOMICS AND MATHEMATIC KAMA UNATAKA KUWA MWALIMAhsante kwa response ya haraka...
But sjaelewa hii (Beem) ni kozi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
BIG NO...EPP AU PPM NA BAF ZITAKUFAA HIYO BEEM NI EDUCATION IN ECONOMICS AND MATHEMATIC KAMA UNATAKA KUWA MWALIM
Sent using Jamii Forums mobile app