SectionTwenty
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 675
- 611
- Thread starter
-
- #61
Hapo #2 ndo kampuni inakuwa termed as Group of Companies?
Kwenye kulitumia hilo jina katika kampuni inakuwaje? Unalisajili tena au
Sasa kwa case yangu nikisajili kampuni kwa jina tofauti na ile sole proprietor lakini details ni zile zile si haina shaka mkuu???Ukishamaliza kuli’cease’ hilo jina kama nilivyoelezea hapo juu basi unafanya usajili wa kampuni kwa taratibu za kawaida.. maana bila kulifunga hilo jina ukitaka kulisajili kama kampuni Brela watakataa watasema majina yanafanana
Sasa kwa case yangu nikisajili kampuni kwa jina tofauti na ile sole proprietor lakini details ni zile zile si haina shaka mkuu???
Mambo vip!,
Upo kwenye mchakato wa kufungua Kampuni ya kutoa mikopo wa wajasiria mali pamoja na wakulima wadogo wadogo mtaji wa biashara ya namna hii ni millioni 20 na kuendelea.
Hapa mhusika mkuu anakuwa hana kash ya kuanzia ila lengo ni kufungua kampuni kwanza ili baadae kuanza kuwashawishi watu waweke pesa zao iki kufikia kiwango cha chini cha kuanzia ili biashara ianze yaani kuweza kuchukua leseni BOT, Swali nitafanyaje ili kufikia hatua hiyo
Ngoja nikujibu jibu la maelezo marefu kidogo kwa faida yako na wote kwa siku zijazo.
Mnapokadiriwa kodi na TRA labda mwanzoni mwa mwaka, na unaona miezi inaenda ile biashara imekua ndivyo sivyo au imekufa kabisa jitahidi kabla mwaka haujaisha katoe taarifa TRA ili wabadilishe makadirio yako ya kodi, utawaambia umeenda kufanya ammendment ya makadirio ya kodi (TRA hawapendi hiki kitu ila ni inawezekana)
Kama una ushahidi wa kusupport unayoyaongea inakua vizuri zaidi, kama kodi labda ilikua 250k unaweza ukajikuta umepunguziwa hadi 100k
Ukikaa ukisubiri mpaka mwaka uishe kabisa hiyo kodi ni lazima utailipa, hata utoe sababu gani
Kama wewe ni mfanyabiashara ambae hutunzi kumbukumbu za hesabu wala huandai mahesabu ya mwaka (Tax under Presumpitve) HAKUNA PENALTY.. ingekua ni mfanyabiashara ambae unatunza kumbukumbu na kupeleka hesabu penalty ni sh 75,000 kwa kila mwezi unaochelewa na kwa kampuni penalty ni sh 225,000 kwa mwezi
Kama biashara umefunga tangu kipindi hiko andika barua kabla ya mwezi March tarehe 31 mwaka huu, usisubiri mwisho wa mwaka
Ukishamaliza kuli’cease’ hilo jina kama nilivyoelezea hapo juu basi unafanya usajili wa kampuni kwa taratibu za kawaida.. maana bila kulifunga hilo jina ukitaka kulisajili kama kampuni Brela watakataa watasema majina yanafanana
Unaandika barua kwenda TRA kuwajulisha kuwa umefunga biashara, na utaandika barua kwenda halmashauri uliyochukua leseni ya biashara ili kuwajulisha waifunge leseni yako
Habari mkuu,,
Umesema wakurugenzi wa kampuni wanatakiwa wawe kuanzia wawili
Na wote inatakiwa wawe wamefikisha miaka 18 Sasa mfano mimi nataka kufungua kampuni yangu na mkurugenzi wa pili nahitaji kumuweka mtoto wangu Sasa shida hajafikisha miaka 18 maana kwa Sasa ana miaka 5 nafanyaje na sitaki kumuweka mtu mwingine...????
Naomba unielekeze jinsi ya kujaza makadirio ya kodi online maana nimeingia tovuti ya TRA sioni mahala naweza kujaza hiyo form.please assist
Nini. Madhara ya kutokufanya hivyo???
Nataka kufungua kampuni ya ku import bidhaa china kuweka brand yangu na kuuza tanzania.Ni agricultural chemicals sasa nahitaji kujua utaratibu wa kuwa na kampuni ya ku distribute product na je unaweza kujua aina ya vibali navyohitaji kufungua kampuni ya kuuza supply chemical??
Mkuu jitahidi umalizane nao kabla ya 31 March.Naomba niulize, kuna biashara nilifungua 2020 na wakanikadiria kodi 200k kwa mwaka. Ila sikuweza kuifungua. Nilipowafata kutaka kuifunga wakasema mpaka mwaka uishe na mpaka nilipe kodi ya mwaka. Mwaka 2021 mwishoni nilikuwa mbali so nikashindwa kuwaandikia barua na kulipa deni la kodi. Je,
Penalt ni Tshs ngapi/asilimia ngapi? Nikiwaandikia barua ya kufunga biashara mwisho wa mwaka huu?
Mkuu Habari ya uzima!
Inawezekana kubadilisha business name (sole proprietor) to limited company?
Okay na ukiwa unafungua kampuni ukadanganya mtaji wa kufungulia kampuni mfano mtaji uliopo ambao nataka kuanza nao ni 30 milion alafu Mimi nikawaambia mtaji wangu ni kuanzia 1M Hadi 5 M afu wakanikubalia kufungua hapo badaye kutakuwa na shida gani ....????Inawezekana... Unachotakiwa kufanya kabla hujaanza usajili wa kampuni inabidi ufunge kwanza jina la biashara hilo ambalo umelisajili, Huduma hii inaitwa "Ceasation of business name" na inalipiwa sh 10,000 tu. Kuna fomu utapaswa kujaza na kuziwasilisha kwa njia ya mtandao (ORS)
Wakati wa kufunga hilo jina la biashara itabidi utoe sababu kuwa unalifunga ili uweze kutumia jina hilo katika kampuni.
Baada ya kukamilisha kufunga jina la biashara sasa hatua inayofuata ni kuanza usajili wa kampuni, Hapa itabidi uanze kuandaa kwanza Memorandum
Katika sehemu ya kuweka objectives(shughuli ambazo unazifanya au unatarajia kuzifanya) hakikisha objective no 1 itakua ni kutake over hilo jina la biashara na shughuli zake zote ziwe katika kampuni.
Baada ya hapo taratibu za kawaida za usajili wa kampuni zitaanza.