Uliza ujibiwe kuhusu madini, gesi na mafuta

Uliza ujibiwe kuhusu madini, gesi na mafuta

Kuna sehemu wazee walinambia kuna mwamba wenye madini ya Ruby, huo mwamba upo sehemu na Nina ufahamu. Nikikutumia picha waweza kutambua Kuna madini gani? Ila niliambiwa yapo umbali mrefu kutoka juu ya aridhi
 
Kwanza kabisa Unapaswa kujua kuwa kuna njia za kisayansi za kufanya utafiti na kufikia maamuzi kuwa kuna madini unayoyatafiti yapo au la na Kati ya njia hizo mojawapo na kuu kabisa ni drilling.Tuma picture yako mkuu Pamoja na vilaya Mwamba huo ulipoutoa
 
Hili jiwe la maana au la kuulia ndege tu
 
Attachments

  • 20191127_172721.jpg
    20191127_172721.jpg
    80.6 KB · Views: 33
  • 20191127_172713.jpg
    20191127_172713.jpg
    109.5 KB · Views: 31
  • 20191127_172641.jpg
    20191127_172641.jpg
    98.2 KB · Views: 32
Wana JR uliza swali lako lolote kuhusu madini, mafuta na gas, kuanzia njisi yanavyojitengeneza ardhini, kufanyiwa utafiti, kuchibwa hadi kuuzwa nawe utajibiwa na mtaalamu wako hapo.
Kaka habari mkuu,hivi madini ya silver kwa wingi yanapatikana mkoa gani na kwa being gani
 
Asante ndugu, kwa upande wa Arusha kuna sehemu nyingine zaidi ya longido?na je ruby ya kutoka huko sokoni inauzika vizuri?na soko lake ni wapi zaidi?Natanguliza shukrani tena.
Kiongozi Karibu Sana.
Ruby ya longido inauzika Vizuri tu nashusha soko lake lipo hapo Arusha. Kwa Tanzania soko kubwa LA madini ya Gemstones linapatikana Arusha na kufuatiwa na DSM. Kumbuka bei ya Gemstones zinategemea na ubola wake ambao Ni color, size, shape na transparent yake.
 
Asante...Nikitaka kufanya hiyo mtaji mzuri wa kuanzia ni kama kias gani kiongozi
 
Kaka habari mkuu,hivi madini ya silver kwa wingi yanapatikana mkoa gani na kwa being gani
Silver maranyingi inaambatana na gold, hasa migodi ya singida na mbeya dhahabu ya huko inaambatana Sana na silver. Kwa hapa Tanzania Hakuna mgodi wa silver pekee
 
Mkuu, kata leseni ya ubroker kutoka office za madini ambazo zinapatkana kila mkoa kisha tafuta sehemu walipo wachimbaji wadogo wadogo, anza kununua na kuenda kuuza kwa madila wanaopatikana karibu kila mkoa ktk masoko ya madini wanapatikana.
Biashara ya madini ni ishu sana hapa navyoongea metoka dsm nilipeleka dhahabu ila meshindwa kuuza merudi nayo... Ilikuwa hivi kuna jamaa yangu ni mfanyabiashara ya dhahabu toka kitambo kuna eneo limelipuka lina dhahabu nikaazima scale nikaenda kununua sasa mzigo ulivyojaa jamaa kaniambia yeye ana muhindi anamuuziaga kule kkoo ivo niende atanielekeza sasa meenda anampigia simu muhindi kuna mtu anakuja muhindi akagoma katu katu kuwa ni bora ningeongozana nae na kila nikijaribu kwenda kwa masonara wahindi wakubwa wanasema hawanunui dhahabu mbichi, mwisho imenibidi nirudi mkoani na mzigo wangu
 
Naomba kujua bei ya ulanga (mica) kutokana na aina zake. Pia soko lake lipoje
 
Back
Top Bottom