Ni mikoa gani Tanzania madini ya ruby yanapatikana?Wana JR uliza swali lako lolote kuhusu madini, mafuta na gas, kuanzia njisi yanavyojitengeneza ardhini, kufanyiwa utafiti, kuchibwa hadi kuuzwa nawe utajibiwa na mtaalamu wako hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mikoa gani Tanzania madini ya ruby yanapatikana?Wana JR uliza swali lako lolote kuhusu madini, mafuta na gas, kuanzia njisi yanavyojitengeneza ardhini, kufanyiwa utafiti, kuchibwa hadi kuuzwa nawe utajibiwa na mtaalamu wako hapo.
Dodoma, Tanga, Morogoro, Lindi Arusha, Manyara na Ruvuma. Hiyo Ndivyo inayozalisha kwa wingiNi mikoa gani Tanzania madini ya ruby yanapatikana?
Ndiyo unaweza but ukiwa kwenye mzunguko wa udhalishaji mkubwa ndiyo utapata after2mil naweza kununua kwa wauzaji wadogo wa dhahabu! !!
Kwanza kabisa Unapaswa kujua kuwa kuna njia za kisayansi za kufanya utafiti na kufikia maamuzi kuwa kuna madini unayoyatafiti yapo au la na Kati ya njia hizo mojawapo na kuu kabisa ni drilling.Tuma picture yako mkuu Pamoja na vilaya Mwamba huo ulipoutoaKuna sehemu wazee walinambia kuna mwamba wenye madini ya Ruby, huo mwamba upo sehemu na Nina ufahamu. Nikikutumia picha waweza kutambua Kuna madini gani? Ila niliambiwa yapo umbali mrefu kutoka juu ya aridhi
Asante ndugu, kwa upande wa Arusha kuna sehemu nyingine zaidi ya longido?na je ruby ya kutoka huko sokoni inauzika vizuri?na soko lake ni wapi zaidi?Natanguliza shukrani tena.Dodoma, Tanga, Morogoro, Lindi Arusha, Manyara na Ruvuma. Hiyo Ndivyo inayozalisha kwa wingi
Hili jiwe la maana au la kuulia ndege tuKwanza kabisa Unapaswa kujua kuwa kuna njia za kisayansi za kufanya utafiti na kufikia maamuzi kuwa kuna madini unayoyatafiti yapo au la na Kati ya njia hizo mojawapo na kuu kabisa ni drilling.Tuma picture yako mkuu Pamoja na vilaya Mwamba huo ulipoutoa
Kaka habari mkuu,hivi madini ya silver kwa wingi yanapatikana mkoa gani na kwa being ganiWana JR uliza swali lako lolote kuhusu madini, mafuta na gas, kuanzia njisi yanavyojitengeneza ardhini, kufanyiwa utafiti, kuchibwa hadi kuuzwa nawe utajibiwa na mtaalamu wako hapo.
Kiongozi Karibu Sana.Asante ndugu, kwa upande wa Arusha kuna sehemu nyingine zaidi ya longido?na je ruby ya kutoka huko sokoni inauzika vizuri?na soko lake ni wapi zaidi?Natanguliza shukrani tena.
Asante...Nikitaka kufanya hiyo mtaji mzuri wa kuanzia ni kama kias gani kiongoziKiongozi Karibu Sana.
Ruby ya longido inauzika Vizuri tu nashusha soko lake lipo hapo Arusha. Kwa Tanzania soko kubwa LA madini ya Gemstones linapatikana Arusha na kufuatiwa na DSM. Kumbuka bei ya Gemstones zinategemea na ubola wake ambao Ni color, size, shape na transparent yake.
Zaidi ya 100million mkuu. Utafiti unagarimu hadi $20millionAsante...Nikitaka kufanya hiyo mtaji mzuri wa kuanzia ni kama kias gani kiongozi
Silver maranyingi inaambatana na gold, hasa migodi ya singida na mbeya dhahabu ya huko inaambatana Sana na silver. Kwa hapa Tanzania Hakuna mgodi wa silver pekeeKaka habari mkuu,hivi madini ya silver kwa wingi yanapatikana mkoa gani na kwa being gani
Madini haya hayaonekani Vizuri hivyo Nashindwa kuyatambua. But Kama hayana thamani kwa muonekano wa halaka halaka.Hili jiwe la maana au la kuulia ndege tu
Silver kwa wingi ipo mafinga katika migodi ya ihanzutwa ni ya dhahabu piaKaka habari mkuu,hivi madini ya silver kwa wingi yanapatikana mkoa gani na kwa being gani
Biashara ya madini ni ishu sana hapa navyoongea metoka dsm nilipeleka dhahabu ila meshindwa kuuza merudi nayo... Ilikuwa hivi kuna jamaa yangu ni mfanyabiashara ya dhahabu toka kitambo kuna eneo limelipuka lina dhahabu nikaazima scale nikaenda kununua sasa mzigo ulivyojaa jamaa kaniambia yeye ana muhindi anamuuziaga kule kkoo ivo niende atanielekeza sasa meenda anampigia simu muhindi kuna mtu anakuja muhindi akagoma katu katu kuwa ni bora ningeongozana nae na kila nikijaribu kwenda kwa masonara wahindi wakubwa wanasema hawanunui dhahabu mbichi, mwisho imenibidi nirudi mkoani na mzigo wanguMkuu, kata leseni ya ubroker kutoka office za madini ambazo zinapatkana kila mkoa kisha tafuta sehemu walipo wachimbaji wadogo wadogo, anza kununua na kuenda kuuza kwa madila wanaopatikana karibu kila mkoa ktk masoko ya madini wanapatikana.
Soko lake shida na Bei haielewekiNaomba kujua bei ya ulanga (mica) kutokana na aina zake. Pia soko lake lipoje
Kuazia $2000 na kuendelea . Inategemea na ukubwa wa kazi yakoMashine yakukatia gemstone ni bei gani? Na bei ya kukata gemstone ni tsh. ngapi?