Yote kheliSSH piga chini maelekezo
Sawa ili atunze integrity yake on the expense of common wananchi.Rais wetu Samia Suluhu Hassan piga chini maelekezo yote yanayotolewa na mabeberu nchi yetu ni huru
porojo zingine bana 🤣Commonwealth imetoa maelekezo yanayohitaji utekelezaji sio majadiliano wala maridhiano kama ya Chadema, ni amri.
Anatakiwa achague moja,
1. kumwachia Lissu au
2. kuendelea kumshikilia.
Samia akiamua kumwachia ataonekana dhaifu, muoga kitu ambacho wapambe na chawa wake hata yeye hataki ionekane hivyo.
Akiamua kuendelea kumshikilia, Tanzania itakuwa kwenye hatari ya kuvuliwa uanachama, kufutwa kwa misaada yote iliyokuwa inatolewa na jumuiya ya commonwealth.
Chaguo ni moja, kuonekana dhaifu au kufutiwa misaada.
COUNTDOWN, leo zimebaki siku 28 za maamuzi.
MchumbaYote kheli
Gentleman Unaongea Ukiwa Itilima Simiyuporojo zingine bana 🤣
Rais wetu Samia Suluhu Hassan piga chini maelekezo yote yanayotolewa na mabeberu nchi yetu ni huru
Lia na CMAG.porojo zingine bana 🤣
Just relax plz 🤣Lia na CMAG.
no,Gentleman Unaongea Ukiwa Itilima Simiyu
Ni kiburi tu kinachowasumbua.US, EU, sasa CW.
Halafu kuna wapumbavu wanafikiri kila anayewaeleza ukweli amelipwa.
Ccm imejaa mapumbavu Yani yote hayana akili kama wafuasi wao ndio maana yanazomewa hadi na wananchi wa kawaida.US, EU, sasa CW.
Halafu kuna wapumbavu wanafikiri kila anayewaeleza ukweli amelipwa.
What upMchumba
Endeleeni kujitekenya na kujichekesha wenyewe kama MazuzuHawa mabeberu wasitutushe kwa lolote wakiamua kukata misaada yao pampja USA na EU ni sawa kabisa ili mama aendelee kubaki madarakani alisikika mlevi mmoja mjinga wa ccm wa Tanganyika Lucas Mwashambwa
Hicho kiburi kiko mwishoni.Ni kiburi tu kinachowasumbua.
Yeye and jis cronies, wakifuta misaada hawata athirika kwa lolote, hivyo atachagua kukaidi, kutomwachia Lisu.Commonwealth imetoa maelekezo yanayohitaji utekelezaji sio majadiliano wala maridhiano kama ya Chadema, ni amri.