Ultimatum ya siku 30 ndio mtihani mkubwa kwa Samia.

Ultimatum ya siku 30 ndio mtihani mkubwa kwa Samia.

Ni suala la muda kinachokemewa kinajirudi kwa mkemeaji

Shida duniani watu tunaishi muda mfupi..

Kama tungedumu miaka anagalau Mia mbili ingekuwa ni rahisi kufundisha wapumbavu kwa vitendo

Tulipoweza ni kujaribu kuweka historia japo si kitu cha moja kwa moja ila inasaidia kwa wachache wa pekee

Itoshe kusema yale unayodhani mwengine atakutimizia ni vile Unatakiwa kuwa wewe mwenyewe

Na wewe ndio shujaa kamili wa maisha yako so mwengine

NB.: hatujakuomba utupiganie
Kila mtu na hulka yake kama ulizaliwa kuwa mnyonge utakufa ulivyo hakuna mtu atakaye kubadilisha, kama ulizaliwa na hulka ya kupigania wengine hata wasipo kuomba roho itakutuma uwasaidie.
 
Kila mtu na hulka yake kama ulizaliwa kuwa mnyonge utakufa ulivyo hakuna mtu atakaye kubadilisha, kama ulizaliwa na hulka ya kupigania wengine hata wasipo kuomba roho itakutuma uwasaidie.
Acha kujiona shujaa wa maisha ya watu

Ukitaka kuwa shujaa kwa unachosimamia kuwa kama Hamza

Shujaa wa kutia watu ujinga kisha uokote amana zao..! Ni zaidi ya ushenzi

Simamia unachoona sahihi kipambanie mpaka unapotea ukiwa wewe mwenyewe ndio usahihi
 
Sio kila mtu lazima awe kama Hamza ndio aonekane shujaa kila mtu na strategies zake, Mandela hakujiua kama Hamza lkn alikuwa shujaa, simamia unachokiamini hata kama utabaki peke yako.
 
Sio kila mtu lazima awe kama Hamza ndio aonekane shujaa kila mtu na strategies zake, Mandela hakujiua kama Hamza lkn alikuwa shujaa, simamia unachokiamini hata kama utabaki peke yako.
Maisha ya mandera na tamaa zake zimebaki historia

Kuona una maono fulani na yakatimizwa kwa wakati hakukupi ulalali wa kuwa wa pekee

Ikiwa nchi hii imewahi kutawaliwa na mtu kama nyerere na bado ipo iliyo sahau muujiza

Kuna shida kubwa kabla hujajua nini ni shida
 
Back
Top Bottom