Ultimatum ya siku 30 ndio mtihani mkubwa kwa Samia.

Commonwealth imetoa maelekezo yanayohitaji utekelezaji sio majadiliano wala maridhiano kama ya Chadema, ni amri.

Anatakiwa achague moja,
1. kumwachia Lissu au
2. kuendelea kumshikilia.

Samia akiamua kumwachia ataonekana dhaifu, muoga kitu ambacho wapambe na chawa wake hata yeye hataki ionekane hivyo.

Akiamua kuendelea kumshikilia, Tanzania itakuwa kwenye hatari ya kuvuliwa uanachama, kufutwa kwa misaada yote iliyokuwa inatolewa na jumuiya ya commonwealth.

Chaguo ni moja, kuonekana dhaifu au kufutiwa misaada.

COUNTDOWN, leo zimebaki siku 28 za maamuzi.

Hakutegemea ingefikia hatua hiyo...na tukumbuke awamu ya sita ilianza kwa slogan ya kufungua nchi eti sababu JPM na diplomasia zake ziliifunga.

Mungu si athumani waswahili wanasema. Muda mfupi ila umeyasema yote. Diplomasia yetu ipo kwenye mtihani mkubwa kweli kweli.

Nani anayetuamini tena? WAsafisha nyota wamekwama mazima
 
Rais wetu Samia Suluhu Hassan piga chini maelekezo yote yanayotolewa na mabeberu nchi yetu ni huru
Kelele za kenge magamba, mabeberu! wakati mmeishapokea mkopo wao wa, tilioni moja!Mara hii lazima mshikwe makalio!
Nyie ccm, inabidi muwe kama mke,ukiolewa lazima ulale bila chupi! Bwana akiwa, tayari, mngangaluma, unazama tu! Endeleeni kujitekenya na kucheka wenye we!
Hivyo vimisimamo vya kizimkazi, anavyovitoa Mara kwa wazee wa Dar, Mara wanasheria, huko, duniani ni upuuzi! Kama, ana hoja si aende ahojiwe BBC! Al Jazeera, au hata Citizen pale Kenya, aweke hoja zake,
Afunge safari, afike ulaya, apige mahojiqno na wahandishi wa, habari wa CNN, BBC!
(Atulize makalio, asije kufa kwa presha) huko hakuna upuuzi, wa, tbc
 
Wanasema mataifa yaliyopo juu yanafarakanisha ili yaje yachukue dhahabu sasa mimi na wewe hatutakubali
 
Commonwealth imetoa maelekezo yanayohitaji utekelezaji sio majadiliano wala maridhiano kama ya Chadema, ni amri.

Anatakiwa achague moja,
1. kumwachia Lissu au
2. kuendelea kumshikilia.

Samia akiamua kumwachia ataonekana dhaifu, muoga kitu ambacho wapambe na chawa wake hata yeye hataki ionekane hivyo.

Akiamua kuendelea kumshikilia, Tanzania itakuwa kwenye hatari ya kuvuliwa uanachama, kufutwa kwa misaada yote iliyokuwa inatolewa na jumuiya ya commonwealth.

Chaguo ni moja, kuonekana dhaifu au kufutiwa misaada.

COUNTDOWN, leo zimebaki siku 28 za maamuzi.
Leo zimebaki siku 27
 
Kibibi kijinga sana kile😂
 
Siyo hayo tu.
Taarifa za ndani ni kuwa asipomwachia ndani ya siku 30, Jumuia ya Madola itaihimiza ICC kutoa arrest warrant dhid ya wauaji wote wa Oct 29..
ICC watoe tu hiyo Warranty kisha watuachie Gen Z turuke nae.
 
1.Lisu ni vema aachiliwe na asiruhusiwe kufanya mikatano ni balaa ikiwa hivyo

2.Akiwa mkaidi wamfungulie mashtaka mengine makubwa zaidi ya haya ili awe na adabu

Yote ya yote sipendi Lisu ashikiliwe ni upumbavu na upuuzi na uzoba ila hafai kuwa kiongozi ni maoni yangu
Kwamba asifanye mikutano ili tusiendelee kusikia madudu ya hii nchi au! Wewe unanufaikaje hapo
 
Madudu ya nchi hii hata Lisu asipokemea sisi Wananchi Tunayajua na tutayajua

Usijedhani taarifa za uozo katika uongozi ni mpaka Lisu aseme ndio zifahamike

Mfano, ukipanda gari na abiria mkaona kila dakika mnagongana kwa nguvu na kuminyana hutofahamu gari inayumba.!? Au mpaka uwe kwenye siti ya dereva
 
Ndio maana wanatumia mamluki ili ionekane chadema wanaomba huruma ya Samia kumwachia Lissu na si wao kuwa underdog kwa mashinikizo wanayopewa
 
Madudu ya nchi hii hata Lisu asipokemea sisi Wananchi Tunayajua na tutayajua

Usijedhani taarifa za uozo katika uongozi ni mpaka Lisu aseme ndio zifahamike

Mfano, ukipanda gari na abiria mkaona kila dakika mnagongana kwa nguvu na kuminyana hutofahamu gari inayumba.!? Au mpaka uwe kwenye siti ya dereva
Kila mtu anajua ufisadi unaofanyika hata Mkunda anajua lkn hawezi kutoka hadharani kukemea, so anahitajika mtu mwenye guts za kuyasema hadharani kama alivyofanya Slaa na sasa Lissu.
 
Ni suala la muda kinachokemewa kinajirudi kwa mkemeaji

Shida duniani watu tunaishi muda mfupi..

Kama tungedumu miaka anagalau Mia mbili ingekuwa ni rahisi kufundisha wapumbavu kwa vitendo

Tulipoweza ni kujaribu kuweka historia japo si kitu cha moja kwa moja ila inasaidia kwa wachache wa pekee

Itoshe kusema yale unayodhani mwengine atakutimizia ni vile Unatakiwa kuwa wewe mwenyewe

Na wewe ndio shujaa kamili wa maisha yako so mwengine

NB.: hatujakuomba utupiganie
 
Back
Top Bottom