Ultimatum ya siku 30 ndio mtihani mkubwa kwa Samia.

Hayo yoote yatapita na TZ itabaki. Kibano chochote kikija waathirika ni Mimi na Wewe na wenzako wote mnaoshabikia wakati huo Samia atakuwa zake Oman.
Usihamishe magoli umeuliza Seneti na EU nimekujibu, hata hivyo unataka kusema wote tutapita ila Samia yeye atabaki.
 
Prof. Anna Tibaijuka.

"@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake".
 
Sikio la kufa halisikii dawa.
 
Rais wetu Samia Suluhu Hassan piga chini maelekezo yote yanayotolewa na mabeberu nchi yetu ni huru
Pumbavu wahed! Maisha yamekuwa magumu mtaani... mnafata mkumbo wa wakina Lucas mwashambwa

Mkijipendekeza kwa samia ili TU MUINGIE KWENYE PAYROLL YA KULIPWA NA LUMUMBA (vijana wa hovyo mtandaoni wanaotetea serikali)

TAFTENI KAZI VIJANA ACHENI KUTETEA UJINGA!... COMMONWEALTH WANAKUTETEA WEWE MJINGA MMOJA NA WENZAKO...hawana cha kupoteza hata wakiamua kufumbia macho upumbavu wa hii serikali haramu!
 
Ni ngumu sana kwa serikali ya sasa kumsikiliza mtu yeyote wewe mwenyewe ni shahidi mkuu
 
Commonwealth imetoa maelekezo yanayohitaji utekelezaji sio majadiliano wala maridhiano kama ya Chadema, ni amri.

Anatakiwa achague moja,
1. kumwachia Lissu au
2. kuendelea kumshikilia.

Samia akiamua kumwachia ataonekana dhaifu, muoga kitu ambacho wapambe na chawa wake hata yeye hataki ionekane hivyo.

Akiamua kuendelea kumshikilia, Tanzania itakuwa kwenye hatari ya kuvuliwa uanachama, kufutwa kwa misaada yote iliyokuwa inatolewa na jumuiya ya commonwealth.

Chaguo ni moja, kuonekana dhaifu au kufutiwa misaada.

COUNTDOWN, leo zimebaki siku 28 za maamuzi.

Waifukuze kwanza Marekani kwa kuivamia Iran na kumuua kiongozi wa mkuu
 
Hataki hata mahakama imwachie anachotaka Lissu ampigie magoti kitu ambacho Lissu hataki.
Kwanini mnataka Rais avunje Katiba ya nchi yetu? Mahakama ni mhimili huru ...pia Lissu ni mwanasheria nguli atashinda hii kesi
 
Commonwealth imetoa maelekezo yanayohitaji utekelezaji sio majadiliano wala maridhiano kama ya Chadema, ni amri.

Anatakiwa achague moja,
1. kumwachia Lissu au
2. kuendelea kumshikilia.

Samia akiamua kumwachia ataonekana dhaifu, muoga kitu ambacho wapambe na chawa wake hata yeye hataki ionekane hivyo.

Akiamua kuendelea kumshikilia, Tanzania itakuwa kwenye hatari ya kuvuliwa uanachama, kufutwa kwa misaada yote iliyokuwa inatolewa na jumuiya ya commonwealth.

Chaguo ni moja, kuonekana dhaifu au kufutiwa misaada.

COUNTDOWN, leo zimebaki siku 28 za maamuzi.
30 kwa 30
30 za Tamasha la Bongo fleva
30 za Kumwachia Lissu
Twende kazi
 
Siyo hayo tu.
Taarifa za ndani ni kuwa asipomwachia ndani ya siku 30, Jumuia ya Madola itaihimiza ICC kutoa arrest warrant dhid ya wauaji wote wa Oct 29..
ICC sio serikali yetu au serikali ya Dunia.Tunaweza ata kujiondoa ili kulinda Uhuru wetu..hao COMMON WEALTH wanatafuta vibaraka ili kuharibu Taifa letu(SAY NO TO NEO-COLONIALSM)
 
Kutenganisha akili na ibilisi wa kijani ni sawa na kutenganisha samaki na maji halafu aendelee kuwa hai, technically lazima afe tu.
 
Commonwealth imetoa maelekezo yanayohitaji utekelezaji sio majadiliano wala maridhiano kama ya Chadema, ni amri.

Anatakiwa achague moja,
1. kumwachia Lissu au
2. kuendelea kumshikilia.

Samia akiamua kumwachia ataonekana dhaifu, muoga kitu ambacho wapambe na chawa wake hata yeye hataki ionekane hivyo.

Akiamua kuendelea kumshikilia, Tanzania itakuwa kwenye hatari ya kuvuliwa uanachama, kufutwa kwa misaada yote iliyokuwa inatolewa na jumuiya ya commonwealth.

Chaguo ni moja, kuonekana dhaifu au kufutiwa misaada.

COUNTDOWN, leo zimebaki siku 28 za maamuzi.
Zikiisha thelathini tuletee mrejesho.
 
Usihamishe magoli umeuliza Seneti na EU nimekujibu, hata hivyo unataka kusema wote tutapita ila Samia yeye atabaki.
Senate, EU, CW vitapita na kuiacha TZ. Samia atakuwa zake Oman. Mimi, wewe na wenzako mnaoshabikia tubinywe ndio tatakao suffer
 
Back
Top Bottom